Serena Williams apanda jukwaani kumsapoti Kendrick ili kumuumiza X wake Drake

Serena Williams apanda jukwaani kumsapoti Kendrick ili kumuumiza X wake Drake

Sisi ndio fanbase akizingua tunampoteza
Ni hayo tu.
Acha kujipa umuhimu wewe minority.
😂😂😂😂
Screenshot_2025-02-11-21-31-34-13_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg

Screenshot_2025-02-11-22-09-31-92_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
Temporary pleasure mtapotea soon
Kwa taarifa yako sisi mashabiki wa Kdot hatujazoea Kdot kuwa mwingi namna hii, sujui kama unanielewa!?
Sis tumeshazoea huyu mwamba anakuja, anaachia albamu, anajibebea tuzo zake halafu anapotea kwa miaka kadhaa.

Ila safari hii Pretty boy Aubrey amechezea MAKENDE ya Simba, alimuunderestimate sana Kdot. Acha aendelee kuzeeshwa kwa stress.

Leo hii hadi DUOLINGO wamekuwa wakumtroll Drake!?
IMG_20250211_204851.jpg
 
Haya Mambo saivi yamenipita kushoto....Nadhani ni huu utu uzima labda maana saivi ni Trump na Elon ndio kidogo naweza kupoteza dk kadhaa kujua wana lipi jipya
 
Sasa hata kama ni wewe ungedate na kina Serena williams kweli? 😀 amekomaa misuli utadhani mwanaume mwenzio 😀
 
Back
Top Bottom