Nimeamini mwanamke anaumia sana kuachwa na mwana anayempenda π
Your browser is not able to display this video.
Kama mnavyojua Drake ni muhuni afu mwana, Serena Williams alimtongoza mwana akamwaga tui la nazi kisha akapiga chini ilimuuma sana Serene hadi akachukia Black akaolewa na mzungu
Sasa bi dada kidonda hakijapona jana Kendrick aki-perform kwenye halftime show
Serena Williams alipanda jukwaan kumsindikiza msanii huyo anayepewa hype za uongo akiperfom Not like us dis track kwa Drake
Sikujua kama Kendrick na William ni wajinga hivyo asee
Kuanzia leo nafuta ngoma zote za Kendrick pumbavu huyuπ€π€
He is hyped for reasons. Drake was also hyped to have more Grammys now the sand has shifted. Halafu kuna black wanamuina Drake siyo mwenzao. Besides, the diss is not that a hit. His flow is totally a wack to me. Ila ndo wakati wake huu muache atambe.