Serena Williams apanda jukwaani kumsapoti Kendrick ili kumuumiza X wake Drake

Yeye hapo eti anawakomoa Kendrick na Serena, duh.....
!
πŸ€”πŸ€”
🀣🀣
Na kendrick akisikia jamaa amefuta nyimbo zake atalia sana kumpoteza shabiki kama yeye πŸ˜ƒ πŸ˜€ πŸ˜„
 
Ushazifuta? Kama umezifuta basi vizuri!
 
Wewe mchele kibua huwezi kumuelewa Kendrick. Ngoma za Kdot wanasikiliza wanaume mashababi.

Unafikiri mtoto mchele mchele kama wewe unaweza kuwa na ngoma kama hii kwenye device yako!?

View: https://youtu.be/4wZytWFm7x0?si=raecXwNbhmjqfxL_Faaaah mchezo nini!?

Weeh endelea na ma-toosie slide. Kazi za Kdot tuachie baba zako.
 
He is hyped for reasons. Drake was also hyped to have more Grammys now the sand has shifted. Halafu kuna black wanamuina Drake siyo mwenzao. Besides, the diss is not that a hit. His flow is totally a wack to me. Ila ndo wakati wake huu muache atambe.
Mimi kusema kweli nilihisi labda ndo sielewi muziki, jamaa flow na verse zake sijaona cha ajabu alichofanya. Naona anaimba mistari mirefu kiasi kwamba sometimea anakuwa offbeaat labda ni style.
Sema kila zama na mfalme wake hata wakati drake yuko kwenye peak watu walidai amekuwa hyped
 
Okay!!!
Flow na verse za msanii gani unazielewa na unaona zina maajabu?
 
Huku sasa ndio kujipa umuhimu......
🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…