Serena Williams apanda jukwaani kumsapoti Kendrick ili kumuumiza X wake Drake

Okay!!!
Flow na verse za msanii gani unazielewa na unaona zina maajabu?
Mimi si mfuatiliaji sana wa muzikiwa kizazi hiki ilanyimbo moja moja naweza kukutana nayo ikanifurahisha. So, hiyo ngoma ya not like us si kati ya nyimbo ambayo nimeona ina maajabu makubwa sawa na hype iliyopata. Ndiyo maana nilihisi huenda siyo muziki wa kizazi changu.
 
Unapenda muziki wa hiphop?
 
Unapenda muziki wa hiphop?
Napenda kila aina ya muziki as long as it sounds good in my ears. Naweza penda flow, beat, lyrics hivyo. But mostly najikuta napenda nyimbo za late 90s hadi 2015 hivi zaidi.
Ngoma za akina 2pac, Eve E, Fedro Starr, Coolio, DMX, akina kanye west, jay z, yani watu wa error hiyo. Hata hapa nasikiliza ngoma za Eve.
Lakini pia kuna ngoma za drake nazipenda kama God's plan, shot for me n.k.
 
Okay!
Nisikuache mikono mitupu mkongwe, kula vyuma hivi kutoka kwa Kdot na mtoto mkali SZA.

View: https://youtu.be/HfWLgELllZs?si=EA2dwi6fEjVg9KZJ
View: https://youtu.be/NEnephbahLA?si=TZdpYXqoQpsfs9U9
View: https://youtu.be/GfCqMv--ncA?si=9Nt9Wt-zhVkEPzeS
 
Ila drake anachafua balaa,nisingekuwa na huruma nilitaman kuwa kama yeye
 
Kendrick wa hovyo sana kama kishungi cha kiwi
 
He is hyped for reasons. Drake was also hyped to have more Grammys now the sand has shifted. Halafu kuna black wanamuina Drake siyo mwenzao. Besides, the diss is not that a hit. His flow is totally a wack to me. Ila ndo wakati wake huu muache atambe.
Drake hajawahi kubebwa km kendrick
Drake alismama kwa uwezo wake
 
He is not our king,drake still running
 
kwa hiyp lamar anapiga show kwa serena ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…