Serena Williams apanda jukwaani kumsapoti Kendrick ili kumuumiza X wake Drake

Temporary pleasure mtapotea soon
Kwa taarifa yako sisi mashabiki wa Kdot hatujazoea Kdot kuwa mwingi namna hii, sujui kama unanielewa!?
Sis tumeshazoea huyu mwamba anakuja, anaachia albamu, anajibebea tuzo zake halafu anapotea kwa miaka kadhaa.

Ila safari hii Pretty boy Aubrey amechezea MAKENDE ya Simba, alimuunderestimate sana Kdot. Acha aendelee kuzeeshwa kwa stress.

Leo hii hadi DUOLINGO wamekuwa wakumtroll Drake!?
 
Haya Mambo saivi yamenipita kushoto....Nadhani ni huu utu uzima labda maana saivi ni Trump na Elon ndio kidogo naweza kupoteza dk kadhaa kujua wana lipi jipya
 
Sasa hata kama ni wewe ungedate na kina Serena williams kweli? πŸ˜€ amekomaa misuli utadhani mwanaume mwenzio πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…