Serengeti: Adaiwa kumuua mumewe siku 14 baada ya kufunga ndoa, kisa si chaguo lake

Happy was too young to get married na inaonyesha alilazimishwa kuolewa kwa kuwa tu kwao zilipelekwa ng’ombe in exchange for her. There was no love between them. Ndoa za kulazimisha hazilipi
Miaka 18 ni "TOO YOUNG"⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️


labda hauko Tanzania
 
Hahaha utajadiliwa humu...mie nimependa..ya nn kujitesa nafsi jamani!huyu hata akienda magereza hataumia kihivyoo..maana wanaume wanatesa sana sana
Kwa nin asingetoroka?
Unamwaga damu ya mtu kwa sababu ya kijinga hivyo aisee!
Damu haitaondoka kwa family yake..
By the was nilifikiri watania kumbe upo serious??
 
Hiyo picha ya profile yako watoto wa wapi
 

binti aliambiwa hatakiwi kutoka kwa ndoa kwa kuwa kwao wameshapokea ngombe za watu. Binti hakuwa na furaha ndoani, alipoweka wazi thamani ya ngombe ikazidi thamani yake. Akafanya kilichomjia kichwani mwake
 
Atakua alilazimishwa kuolewa. Mleta habari kasema alirudi nyumbani wazazi wakasema umeshatolewa mahari hatuwezi rudisha ng'ombe.

Thamani ya ngombe ilikua kubwa kuliko thamani yake
 
Akimpata Hakimu mstalabu na Tamwa wakimsaidia hiyo kesi hafungwi zaidi ya miaka 10,sababu alikuwa anabakwa hayakuwa mapenzi ya hiyari yake hapo
 
Duu! Hii balaa! Inaonyesha mazingira ya namna alivyoozwa yana utata, kuna watu walizitazama mahari tu za kumuolea lakini wakasahau concent ya moyo wake!
Yaani kilichokuwemo moyoni mwake hakuna aliyejali, si mumewe wala wazazi, hapa kulikuwa na shida kubwa maana mapenzi ni moyo ukiridhia kwa mtu!
Nimuombee marehemu akapumzike kwa amani, kifo chake amekitengeezea mazingira yeye mwenyewe pia nimuombee bint Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi kulingana na udhaifu wake, naskitika kunyongwa bint mdogo wa umri huo, na kama atafungwa jela basi atakuwa ngoma ya maafande, kule jela kutoa chupi ni mwendo wa amri na hatakuwa na panga tena!
 
kudadeki !
binti wa miaka 20 ana roho ngumu kiasi hicho?

baada ya kuua akaenda kuchukua na msosi kabisa akagonga bila wasi wasi?

du!
 
Akimpata Hakimu mstalabu na Tamwa wakimsaidia hiyo kesi hafungwi zaidi ya miaka 10,sababu alikuwa anabakwa hayakuwa mapenzi ya hiyari yake hapo
Ushahidi kuwa alibakwa uko wapi au utakuwa upi?.

Alisharipoti kituo cha polisi?..kama alikuwa anateswa,best option ni kukimbia na kwa kukimbilia asingekosa..kuua ni jambo kubwa sana.

Huyu mwanamke ni mpumbavu au ana matatizo ya akili,anaua then anaenda kwa mama mkwe wa marehemu kula chakula.
 
Babe tukichomwa mikaa sisi hamsemi .tukiua mnakuja duh😑! Nimekumis nikajiapiza na kujinuiza sitakutafta tena na ole wako nikifa usije nizika😶! Ila waha mna maringo jamani 😡😡😡..mngepata ziwa victoria kubwa kama kwetu si tungekufa jamani😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…