Serengeti: Adaiwa kumuua mumewe siku 14 baada ya kufunga ndoa, kisa si chaguo lake

Serengeti: Adaiwa kumuua mumewe siku 14 baada ya kufunga ndoa, kisa si chaguo lake

Future mama mkwe detected !!..
😆😆😆😆! Sina binti ndo ubaya uko hapo...! Hapa nawafundishaga wanangu(boys) ujeda ujeda sipend udhaifu dhaifu...janaume likiwa dhaifu ua endelea na life😖😖😖😖😖😖! Dume linatakiwa kuwa konk kama assad bwan wee...haliogop linasanuka tu🥰🥰🥰..sio mwanaume hovyooooooooo kama ndugai😱
 
hahaaaaaaa

Kazi wanayo
 
Nyie si ndo mnapewaga dawa bar mnazima wanakomba kila kitu?
Kuniwekea dawa bar ni ngumu sana! and by the way makahaba ninaochukua sio wale wa kutongoza nachukua wenye price tags, kwamba ni Tsh ... kwa round! Sio nimtongoze barmeid au mazni wa bar.. no never
 
Si-shabikii kitendo alicho fanya huyu binti; lakini, kua forced kufanya mapenzi na mtu usie mpenda na hatakama unamjua, ni sexual assault. Wakina dada wendi especially vijijini wana jiua kutokana na tabia hii ya wazazi/mila kulazimisha ndoa...
'Haki' ikitendeka huyo binti ahamie mbali kabisa kusiko julikana na abadili majina yake.. maana hapo kijijini kwao hawezi kukaa salama!
 
Kwahiyo hii nayo inahitaji akili za ziada kujua kwamba huyo mwanamke ni mgonjwa wa akili?
 
😂kweli, ila jamaa angemfikisha kileleni asingekufa, tatizo kapiga zile za chwaaa chwaa chwaaa kamaliza
Hapa ndio kwenye tatizo na nisababu mwanamke akakimbia mara ya kwanza..
Jamaa inaonekana alikuwa na kawaida ya kutomfikisha huyo mwanamke akipiga kimoja Cha fasta usingizi hapo hapo.
Husia kwa Wanaume kama nguvu ndogo usiowe!
Utagongewa au kuuliwa!
 
Uwiii...kuwa na mtu usiyempenda inakera sana! Ila sio kuua jamani hata angetoroka tu
Mijanamke ya mikoa hiyo sijui ipoje km sio wanawake hv mwanamke wa pwani anapata wapi ujasiri wa kumchinja mtu kwa panga kwanza hata kulinyanyua tu panga lenyewe hawawezi sikubaliani na ndoa za kulazimishana lakini si kufikia kuuana zipo njia kadha wa kadha
 
Back
Top Bottom