Misunderstood
JF-Expert Member
- Aug 4, 2020
- 384
- 884
Uwiii...kuwa na mtu usiyempenda inakera sana! Ila sio kuua jamani hata angetoroka tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afya ya akili inahusika.Si kawaida achunguzwe akili, au ni mambo ya kiroho zaidi inawezekana kuna nguvu za giza hapo.
Alitoroka wakamrudishaUwiii...kuwa na mtu usiyempenda inakera sana! Ila sio kuua jamani hata angetoroka tu
Unaoa lini Bro!Hafu kazini majitu utasikia "Mad unaoa lini, umri unaenda!"
wanaume tukimaliza cha mwisho tusilale, tutachinjwa tuishe
Amesema baada ya kufanya kitendo hicho Happy alikwenda kwenye nyumba ya mkwewe na kuchukua chakula na kuanza kula.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Serengeti. Happy Nyasumo (18) mkazi wa Wilaya ya Serengeti amemuua mumewe, Bebe Mbogo (26) kwa madai kuwa hampendi na hakuwa chaguo lake zikiwa zimepita siku 14 tangu walipofunga ndoa.
Akizungumza na Mwananchi Digital leo Alhamisi Aprili 14, 2021 mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Nurdin Babu amesema tukio hilo limetokea jana Aprili 14, 2021 saa 4 usiku katika kitongoji cha Pengo kijiji cha Iseresere.
Amesema chanzo ni mgogoro wa ndoa na mtuhumiwa anashikiliwa na polisi kwa hatua zaidi.
Diwani wa Majimoto, Johannes Masirori ambaye ni mjomba wa marehemu amesema Mbogo na Happy walifunga ndoa Machi 31, 2021 na kudai kuwa mwanamke huyo amekiri kufanya mauaji hayo.
"Kabla ya mauaji anadai kuwa mumewe alimlazimisha kufanya tendo la ndoa na baada ya kumaliza mwanaume alilala na yeye alipobaini amesinzia akachukua panga na kumkata mara tatu shingoni,” amesema.
Amesema baada ya kufanya kitendo hicho Happy alikwenda kwenye nyumba ya mkwewe na kuchukua chakula na kuanza kula.
"Ameulizwa na kusema bila hofu na kuwaonyesha panga alilokuwa ameficha..., tangu wamefunga ndoa wamekuwa katika mgogoro mkubwa. Happy alirudi kwao kwa madai kuwa hamtaki mumewe lakini huko kwao wakamlazimisha arudi kwa mumewe kwa maelezo kuwa hawawezi kurudisha ng'ombe waliochukua wakati wakimuozesha," amesema.
Masirori amesema wakati watu wakilia na kusikitika kutokana na tukio hilo, mtuhumiwa hakuwa na wasiwasi na aliwataka wasiojua wamtazame vizuri.
MWANANCHI
HahahahHafu kazini majitu utasikia "Mad unaoa lini, umri unaenda!"
Sorry! Shemeji yuko hai?Good
Wakilala watamkaa pindi wewe umelalaKweli aisee tusubiri waanze kulala wao
Haoni kama amekosea kabisa, yaani hata wakimfunga atafurahi tu...inaonekana alilazimishwa sanaAmesema baada ya kufanya kitendo hicho Happy alikwenda kwenye nyumba ya mkwewe na kuchukua chakula na kuanza kula.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Wengine wanakata uumeeUwiii...kuwa na mtu usiyempenda inakera sana! Ila sio kuua jamani hata angetoroka tu
wanaume tukimaliza cha mwisho tusilale, tutachinjwa tuishe
Unazania watu wa mara ni kama watu wa dar? Tena hapo wenda aliomba na togwa kama ipo ashushieAmesema baada ya kufanya kitendo hicho Happy alikwenda kwenye nyumba ya mkwewe na kuchukua chakula na kuanza kula.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]