Atakua alilazimishwa kuolewa. Mleta habari kasema alirudi nyumbani wazazi wakasema umeshatolewa mahari hatuwezi rudisha ng'ombe.Kwa kweli itungwe sheria kabla ya ndoa wahusika wapimwe akili huyu binti hakuwa sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakua alilazimishwa kuolewa. Mleta habari kasema alirudi nyumbani wazazi wakasema umeshatolewa mahari hatuwezi rudisha ng'ombe.Kwa kweli itungwe sheria kabla ya ndoa wahusika wapimwe akili huyu binti hakuwa sawa.
Kwa bahati mbaya mtu asiyependa sio rahisi kupata hisia za kufikishwa hapo.[emoji23]kweli, ila jamaa angemfikisha kileleni asingekufa, tatizo kapiga zile za chwaaa chwaa chwaaa kamaliza
Hahaha utajadiliwa humu...mie nimependa..ya nn kujitesa nafsi jamani!huyu hata akienda magereza hataumia kihivyoo..maana wanaume wanatesa sana sanaSafi.
😆😆😆Huoni jina hilo? Wanawake wa hukohuko hao wako tofauti sana na wanawake tunaowafahamu
Why?I felt soo lovely
Ninamuonea huruma huyu mwanamke, inavyoelekea alilazimishwa ndoa. Amefika kwa mume mambo yalimshinda, aliomba msaada hakuna aliyemsikiliza.Amani ya moyo wake ni muhimu hajali gereza wala mateso yake
Amefanya roho yake imependa...sie tukichomwa mkaa sawa .myie mkitolewa roho mnakuja na why😏Why?
Amesema baada ya kufanya kitendo hicho Happy alikwenda kwenye nyumba ya mkwewe na kuchukua chakula na kuanza kula.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
MhhhhAlishafariki muda mkuu! Vipi amefufuka umemuona huko??