Serengeti: Adaiwa kumuua mumewe siku 14 baada ya kufunga ndoa, kisa si chaguo lake

Serengeti: Adaiwa kumuua mumewe siku 14 baada ya kufunga ndoa, kisa si chaguo lake

Miaka 18 ni "TOO YOUNG"⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️


labda hauko Tanzania
Mdogo sana ndio kuingia kwenye ndoa
 
na nna hakika hiyo last show ya marehemu, ameacha mtoto..... huyo mwanamke hayuko sawa akapimwe......alishindwa kutoroka......elimu, kukosa ajira,,, bado ni tatizo kuu TANZANIA.....
 
Mama zetu nao wana Roho ngumu sana Sumtime,Kumchinja mtu kwa Panga mpaka anadedi inataka Roho sana.
 
Daah totoz za kikurya noma sana halafu kuna watu wanaogopa kuoa uchagani kuliko ukuryani!
we waache tu, ingekua mchaga hapa kungewaka moto.
iwe fundisho wazazi waache kulazimisha ndoa.
huyo msichana ni mtoto sanaa to get married. pole sana kwa wazazi wote.
 
Jamani imetosha Sasa kuwalinganisha warembo na ng'ombe.
Wakuria na wasukuma jirekebisheni
 
Amefanya roho yake imependa...sie tukichomwa mkaa sawa .myie mkitolewa roho mnakuja na why[emoji57]
Kukatwa shingo au kuchomwa na mkaa, vyote ni vitendo vya kikatili na hakuna any means ya kuvihalalisha, regardless muhusika ni nani.
 
Bora ww umefikiria kiume....nimekupenda bure..ukiwa hujanywa kumbe zinachaji

[emoji23] ndo maana dada hakuona shida kumgecha na panga halafu akatafuta na msosi wa kushushia. Probably she endured so much from her abuser. Men stop abusing women, mwanamke akiamua kufanya ukatili dunia huwa inasimama kwanza kusikilizia.
 
Ndo shida ya ndoa za utotoni
Tuliopitia haya madhila tunajua machungu yake,😢 ina athari kubwa sana sana kisaikolojia, unaweza kufanya tukio la kuogofya, hata kuua nyumba nzima na wewe kujiua kwa misimamo ya ovyo kutoka kwa wazazi/walezi😭😭
 
Huyu inaelekea mwanaume alikuwa anamu abuse sana

Ova

Inawezekana, ndo maana baada ya kutekeleza mauaji akatafuta na msosi kabisa tena kwa mama wa marehemu. Na akagonga menu pasi na shaka na akashiba kabisa.
 
Back
Top Bottom