Kweli kabisa Mkuu, si ndio nashangaa kuna mtu anatetea hapa... wakiboronga kwa nje mzuka wa kuonja au kunywa cha ndani unakata... watakosa hata wateja wapya, wameboronga kichizi
Dawa nikuacha kuinywa mkuu wakiona mauzo yamepungua mbona watairudisha chap na kuomba msamaha juu, msticker gani huo sasa ukipigwa na zile taa za bar unalewa mara mbili.