Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 233
- 298
Kweli kabisa Mkuu, si ndio nashangaa kuna mtu anatetea hapa... wakiboronga kwa nje mzuka wa kuonja au kunywa cha ndani unakata... watakosa hata wateja wapya, wameboronga kichiziHawajifunzi kwa maji. Kuna maji yaani chupa tu inaanza kumvutia mteja halafu kinafuata kilichomo ndani.