Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani viongozi na wanachama wa upinzani hasa chadema sijuwi akili zao huwa zipoje? Sijuwi wanatumia Nini kinachoathiri upeo wao wa kufikiri? Sasa anazani hii amani iliyopo na iliyotamalaki hapa nchini Ni kwa bahati? Hajuwi wakati yeye amelala kitandani pake Askari wetu wanakuwa wanazunguka huku na huko kulinda na kupiga Doria? Hajuwi wakati yeye yupo ndotoni Askari wetu wanakuwa wapo katika mapambano ya kuzuia ujambazi mahali fulani? Hawa viongozi wa upinzani waliokosa adabu hekima na busara wanapaswa kufundishwa Nidhamu ya kuheshimu serikali yetu pamoja na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, wasiachwe wakaendelea kutukana askari wetu wanaojitoa mhanga wa kulinda na kupigania Taifa letu kila siku
Lazima mfundishwe kuheshimu vyombo vya dola siyo mkilewa huko mnaanza kuja kutukana askari wetu, Chadema Ni kikundi chenye uhaba wa viongozi maana hao ndio viongozi wenu wasio na adabu Wala hekima, Sasa watamuongoza nana zaidi yenu nyinyi mnaofananaHakuna askari yoyote anayelinda kwa kujitolea bali wanalipwa mshahara, na kuwa polisi sio ticketi ya kuua wafu bila kuwafikisha mahakamani. Polisi ni baadhi ya taasisi zilizokosa maadili maana wanakula rushwa waziwazi na kubambikia watu makosa ili watoe rushwa.
Usiseme watu wafushwe kuheshimu jeshi la polisi, sema wapigwe ili waliogope jeshi la polisi. Taasisi inayofanya kazi kwa mujibu wa sheria ndio inayoheshimika. Ila haya yanayofanywa na hilo jeshi lililooza la polisi yatafika mwisho tu.
Lazima mfundishwe kuheshimu vyombo vya dola siyo mkilewa huko mnaanza kuja kutukana askari wetu, Chadema Ni kikundi chenye uhaba wa viongozi maana hao ndio viongozi wenu wasio na adabu Wala hekima, Sasa watamuongoza nana zaidi yenu nyinyi mnaofanana
Huku ndiko kukosa busara na uelewa! Ndio matumizi ya uhuru wa maoni huu? Mbaya sana.🙏🙏🙏View attachment 2366759
View attachment 2366768
Aliepata kuwa Mbunge na Katibu wa Bawacha bi Catherine Ruge amekamatwa na Polisi Mkoani Mara.
Hawa sio wa kichekea ni kuwashughulikia wawe na adabu.Hivi huwezi toa mawazo yako pasipo matusi? Eti kundi la vibaka na majambazi, kweli?
Ma taahira kama hao eti ndio wanataka wawe viongozi,labda watakuwa viongozi kwa Machadomo huko vinginevyo ni majitu yasiyo na adabu Wala staha.Hawa bana sasa ukosoaji gani huo
Mtu anatumia lugha za ajabu ajabu
Ndomana wanaonekana hamnazo
Ova
Hivi mtu akisema " hatuna" unadhani hilo neno linasimama badala ya neno gani?alimaanisha police wa Nchi gani? Mbona Kama hamna kesi hapo
Hao ni majambazi wanaovaa uniform.Kwa hiyo kwa mtazamo wako hayo maneno ni matusi! Bora hata ungesema maneno ya kuudhi, kidogo ningekuelewa!
Ingawa ukija kwenye uhalisia, hilo jeshi lina sifa zote za kuitwa majambazi na vibaka! Kutokana na baadhi ya matendo yao ambayo kimsingi yako kinyume kabisa na shughuli zao za kika siku za kuwalinda raia na mali zao.
Umeshaandika tayari😁😁Mbwa wa serikali wameguswa
Siwapendi ila nisingeweza andika hivyo
Ila kwa kweli hatuna polisi. Wakiwa kazini akili yao yote kupata dili za kuhongwa. Hawana mawazo ya kuwajibiks kwa kazi yao.View attachment 2366759
View attachment 2366768
Aliepata kuwa Mbunge na Katibu wa Bawacha bi Catherine Ruge amekamatwa na Polisi Mkoani Mara.
Hata kama mtamuweka kibabe huko korokoroni kwa mwaka mzima! Bado haiwezi kuondoa ukweli kuhusu ukibaka na ujambazi wa hao policcm wenu.Akae hata wiki mbili
Wamemkamata kwann kazungumzia jeshi bila kutaja la nchi gani yaleyale ya JPMView attachment 2366759
View attachment 2366768
Aliepata kuwa Mbunge na Katibu wa Bawacha bi Catherine Ruge amekamatwa na Polisi Mkoani Mara.