Polisi wala serikali hawanaga utamaduni wa kutoa ripoti kamili na credible. Fuatilia tume nyingi za kiuchunguzi zilizoundwa.Nimekuwa nikifuatilia hizi taarifa, naona cable na taarifa fupi fupi za kulaani polisi tu. Wengine mara washauri kufukuzwa kazi Waziri na IGP. Lakini hakuna taarufa kamili inayoonyesha mwanzo mwisho wa thkio. Sasa mnaotoa taarifa naomba mtusaidie:
1. Kwanza kabisa issue nzima hasa ni nini?
2. Polisi walipofika hatua ya kwanza kabisa walifanya nini?
3. Then watuhumiwa nao walifanya nini kujibu polisi?
4. Ilikuaje hadikufikia hivi vipande vya taarifa?
Kwa sasa, sijaona taarifa sahihi hivyo pia siwezi kuilaumu polisi. Kazi hizi wakati mwengine tunalaumu polisi bila kujua nature ya issue. Polisi wa Tanzania ni wakarimu mno ukiwa mtiifu. Ni tofauti kabisana baadhi ya nchi jirani. 🙏🙏🙏