Serengeti: Tabitha Mwise asimulia jinsi Polisi walivyo Vamia nyumbani na kuvuliwa nguo mbele ya baba yake na kulazimisha afanye naye Mapenzi

Serengeti: Tabitha Mwise asimulia jinsi Polisi walivyo Vamia nyumbani na kuvuliwa nguo mbele ya baba yake na kulazimisha afanye naye Mapenzi

Nimekuwa nikifuatilia hizi taarifa, naona cable na taarifa fupi fupi za kulaani polisi tu. Wengine mara washauri kufukuzwa kazi Waziri na IGP. Lakini hakuna taarufa kamili inayoonyesha mwanzo mwisho wa thkio. Sasa mnaotoa taarifa naomba mtusaidie:
1. Kwanza kabisa issue nzima hasa ni nini?

2. Polisi walipofika hatua ya kwanza kabisa walifanya nini?
3. Then watuhumiwa nao walifanya nini kujibu polisi?
4. Ilikuaje hadikufikia hivi vipande vya taarifa?

Kwa sasa, sijaona taarifa sahihi hivyo pia siwezi kuilaumu polisi. Kazi hizi wakati mwengine tunalaumu polisi bila kujua nature ya issue. Polisi wa Tanzania ni wakarimu mno ukiwa mtiifu. Ni tofauti kabisana baadhi ya nchi jirani. 🙏🙏🙏
Polisi wala serikali hawanaga utamaduni wa kutoa ripoti kamili na credible. Fuatilia tume nyingi za kiuchunguzi zilizoundwa.
 
Hizo ni mbinu za kumlazimisha mtuhumiwa afunguke.
Mbongo bila kupelekwa garage akatundikwe juu chini hawezi toa ushirikiano. Wengine ni hadi utumie spoku na prize ndo wanakupa ushirikiano.
Ukishaingia 18 kama utaki mwili wako kuharibiwa au kupewa ulemavu toa ushirikiano, uone kama hata kovu utapata.
 
Unapodili na jambazi unadili na shetani na shetani atoki kwa nyimbo wala mapambio
 
Sasa kama baba anabunduki ulitaka wamuimbie nyimbo aseme iliko????

Unadhani mtuhumiwa wa ujambazi wa siraha ili akuoneshe bunduki iliko ni kazi ndogo??? Ukipewa wewe iyo kazi unaweza hata ukamuacha kumbe mali ipo na ataendelea kuitumia.

Izo ni mbinu tu za kumfanya mtuhumiwa afunguke.

Polisi speed bado ni ndogo sana, nashauri iongezwe ili wahalifu wapaone Tanzania kama jehanam
Pumbavu
 
Kaka, raia wengi sana wasio na hatia huuawa na polisi kwa kisingizio cha ujambazi- kumbuka wafanyabiashara wa mahenge, iringa, arusha, na mtwara. Hili zoezi la kuua panda Road kiholela lisipofuatiliwa kiundani kujua profile ya wanaouawa- wenye hatia wengi watapotea mnooo

Nakubaliana na wewe 100% ,hapa uweledi utumike na sio visasi au kupora mali za watu na kusingizia ni majambazi au panya road.

Kesi ya Zombe ,ya Mtwara etc imewaumbua Polisi.

Street is saying that, out of all the high-powered, criminal street gangs, the largest and most dangerous of them all is the Police Department itself! This is due to police brutality and corruption in the force, and Street says that this makes the Police more criminal than the gangs themselves.

Watu wanasema kati ya magenge ya hatari yenye nguvu ya wahuni wa kitaa,kubwa na hatari zaidi ya wote ni MAPOLISI ,hii inafanya polisi kuwa wahalifu zaidi kuliko wahuni wa kitaa ,ueledi wa kazi zao unahitajika sana na ndio maana samia akasema ana namba hadi za magari binafsi ya polisi yanayoenda kuiba mafuta ya serikali,ni kama fisi kakabidhiwa bucha.
 
Labda nikuongezee nyama kwenye habari yako. Hii ni mbinu ambayo polisi huwa wanadanganywa kwamba Mkurya ukitaka atoe siri mvue nguo mlazimoshe alale na binti yake. Ni story ya muda mrefu lakini kwa Mtu ambaye hajatenda kosa hawezi kukubali. Sasa Mzee wa miaka 63 angekuwa na hiyo Bunduki si anheonyesha kuliko kudhalilishwa? Lakini polisi wetu bado wameondoka naye na kwenda kutunga Uongo wa kwamba alitaka kuwavamia na wenzake? Mzee wa miaka 63 hata seriakalini ameshastaafu miaka 3 iliyopita, ana nguvu gani za kuwavamia polisi na kuwanyang'anya silaha? Tukiwasema Polisi wetu ni genge la wauaji wewe huwa mtetezi wao. Ona walivhofanya jiweke wewe kwenye nafasi ya Mzee lazimishwa kulala na binti yako.
 
Hizo ni mbinu za kumlazimisha mtuhumiwa afunguke.
Mbongo bila kupelekwa garage akatundikwe juu chini hawezi toa ushirikiano. Wengine ni hadi utumie spoku na prize ndo wanakupa ushirikiano.
Ukishaingia 18 kama utaki mwili wako kuharibiwa au kupewa ulemavu toa ushirikiano, uone kama hata kovu utapata.
Sawa Afande, je mtu akifunguka si bado mtampiga kujua kama ni kweli au lah, au huko garage ni kwa kumlazimisha akubali asichokijua

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Inaelekea Polisi walipiga hodi ofisi ya JF. Ile video niliamua nitaitazama baadaye,sasa siioni tena.
 
Labda nikuongezee nyama kwenye habari yako. Hii ni mbinu ambayo polisi huwa wanadanganywa kwamba Mkurya ukitaka atoe siri mvue nguo mlazimoshe alale na binti yake. Ni story ya muda mrefu lakini kwa Mtu ambaye hajatenda kosa hawezi kukubali. Sasa Mzee wa miaka 63 angekuwa na hiyo Bunduki si anheonyesha kuliko kudhalilishwa? Lakini polisi wetu bado wameondoka naye na kwenda kutunga Uongo wa kwamba alitaka kuwavamia na wenzake? Mzee wa miaka 63 hata seriakalini ameshastaafu miaka 3 iliyopita, ana nguvu gani za kuwavamia polisi na kuwanyang'anya silaha? Tukiwasema Polisi wetu ni genge la wauaji wewe huwa mtetezi wao. Ona walivhofanya jiweke wewe kwenye nafasi ya Mzee lazimishwa kulala na binti yako.
Mbona umetoa maelezo kam vile imethibitika kwamba ilikuwa hivyo.
 
Mpka inaleta hivi "view attachment" shida inakuwa ni nini??
Screenshot_20220926-040600.jpg
 
Back
Top Bottom