Serengeti: Tabitha Mwise asimulia jinsi Polisi walivyo Vamia nyumbani na kuvuliwa nguo mbele ya baba yake na kulazimisha afanye naye Mapenzi

Siyo police tu hata mahakama
Maana hawa wakikamatwa hutokea mahakamani kwa michezo yao

Ova
 
Watu humu wanawachukulia poa majambaz
Utumie uweledi kwa jambaz

Ova
 
Kweli wapo polisi ambao ni corrupt
Nahsi duniani kote polisi aina hii wapo
Ila ku deal na jambaz ambaye ni sugu
Ashakanywa hasiki,anaendelea na uhalifu...dawa ni kumngoa tu

Ova
 
Kweli wapo polisi ambao ni corrupt
Nahsi duniani kote polisi aina hii wapo
Ila ku deal na jambaz ambaye ni sugu
Ashakanywa hasiki,anaendelea na uhalifu...dawa ni kumngoa tu

Ova
Nakubaliana na wewe kwenye hili Ila ndio nashauri wahakikiwe maana Kuna makosa wamewahi kufanya yakagharimu maishaa ya wasio na hatia(concern nyangu ipo hapa)
 
Kwa hiyo wote wawili baba na binti ni majambazi?
Kuwalazimisha mtu kujamiiana na mtoto wake ndiyo njia nzuri ya kudeal na ujambazi?
 
Tulia we kiuno nchi yoyote ile duniani watu kama hao hupitia mateso makali ili waseme wanashirikiana na kina nani na bunduki ziko wapi

Jambazi habembelezwi ili aseme ukweli
Pia ajiulize yeye mwenyewe sio jambazi polisi hawajawahi Kuja kwake kumkamata wakamtesa wanamuuliza kuwa silaha iko wapi.


Yaani ishu ya jambazi na askari sio ishu ya kitoto is matter of life or death thing. You've to live or die so wao wanajua Ni Kama wanaongea na beibi zao. Ingawa wapo Askari wenye tamaa kubwa mno anatumia mgongo wa lile vazi kufanya uporaji,wapo asilaha. Jiulize bila ya wahalifu kazi ya polisi haipo unadhani atafanya nini
 
Mtu akishakuwa jambazi ameshatoka kwenye ubinanadamu so inatakiwa atenganishwe kwa bunduki mbali kabisa na binadamu.
 
Pumbavu zako ,nasema hivi kama wewe ni jambazi embu salimisha iyo siraha mara moja mda ni mchache sana jinga
 
Ona simbilisi hii ,ety mtu anakabunduki kimoja kasahau kukasajili ivi wewe punguani unataka mtu awe na armoury yote ya bunduki ndio adhalilishwe Jaman kama hujui kazi ya kudeal na majamazi ni ngumu Kaa kimyaaa
 
Huyu binti anasema uongo dhambi kubwa. CHADEMA wanaomfundisha aseme hivyo wana dhambi kubwa zaidi. Hii ni sawa na ile hadeeth ya Mtume kuamua amchane mtoto katikati wagawane mama halisi akakataa. Na huyu binti kumhusisha baba yako na uchi angekubali angekataa. Kutetea majambazi ni hulka yao.
 
Izo ni mbinu tu ili mtuhumiwa afunguke, msidhani ni kazi rahisi kudeal na jambazi

Tuseme sawa ni kweli baba ana bunduki, je kama binti hajawahi kuiona na wala hajui kama baba ana bunduki? Au wewe unadhani kila muhalifu anaiambia familia yake kua mimi ni muhalifu?
 
Tunachangia kwa miemko, Siku jambazi akikuvamia na kukushughulikia ndo utajua polisi walikuwa sawa.

Majambazi siyo wa kuchekewa jamani nyie..
Yote kwa yote..tuendelee kutafta nauli za kwenda Burundi!
 

ukisoma huu uzi utagundua jinsi nchi ilivyojaa wapuuzi hii.

maelezo ya thabita anawezatoa mtu yeyote tu akiamua.
 
Samia aliwahi kusema yeye na mwendazake ni kiti ki 1 hivyo yanayotokea hayashangazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…