Serengeti: Tabitha Mwise asimulia jinsi Polisi walivyo Vamia nyumbani na kuvuliwa nguo mbele ya baba yake na kulazimisha afanye naye Mapenzi

Serengeti: Tabitha Mwise asimulia jinsi Polisi walivyo Vamia nyumbani na kuvuliwa nguo mbele ya baba yake na kulazimisha afanye naye Mapenzi

Unaakili au unautahira fulani wewe ni mshenzi watabia .
Wewe ni mbwa koko au??
Unamwambia mtu afanye mapenzi na baba ake kweli .?
Ndio solution??
Punguza mihemko wewe bwege, mbona kitu rahisi tu icho, Ivo vilikuwa vitisho tu kumchanganya mtuhumiwa kiakili ili aseme ukweli.
 
Good guy shuwain wewe likafiri fulani shenzi kabisa ningekuwa nauwezo ningekuvua nguo zako zote nikuchape uchi hadi akili ikae vizuri unamwagiwa maji unapewa vizuri kabisa dawa yako
Acha mihemko kijana mdogo, Izo ni mbinu tu za kumchanganya kiakili mtuhumiwa aseme ukweli.

Haya mambo yanahitaji utulize akili ndo utaelewe kudeal na wahalifu kuna mbinu nyingi na zingine ni chafu kulingana na uchafu wa mtuhumiwa
 
Sasa kama baba anabunduki ulitaka wamuimbie nyimbo aseme iliko????

Unadhani mtuhumiwa wa ujambazi wa siraha ili akuoneshe bunduki iliko ni kazi ndogo??? Ukipewa wewe iyo kazi unaweza hata ukamuacha kumbe mali ipo na ataendelea kuitumia.

Izo ni mbinu tu za kumfanya mtuhumiwa afunguke.

Polisi speed bado ni ndogo sana, nashauri iongezwe ili wahalifu wapaone Tanzania kama jehanam

Kwanini wale wanaoiba fedha za umma ambazo ni nyingi kuliko hizo wanazoiba hao wenye silaha za kienyeji hamuwavui nguo ili warudishe hizo pesa?
 
Hao polisi wanafanya lolote watakalo hasa ukiwanyima hela, maana wanajua viongozi walioko madarakani hawana la kuwafanya kwani ndio wamewaingiza madarakani kwa kura za wizi.
Habari ya uchaguzi wa 2020 inaingia vipi?
 
Sasa kama baba anabunduki ulitaka wamuimbie nyimbo aseme iliko????

Unadhani mtuhumiwa wa ujambazi wa siraha ili akuoneshe bunduki iliko ni kazi ndogo??? Ukipewa wewe iyo kazi unaweza hata ukamuacha kumbe mali ipo na ataendelea kuitumia.

Izo ni mbinu tu za kumfanya mtuhumiwa afunguke.

Polisi speed bado ni ndogo sana, nashauri iongezwe ili wahalifu wapaone Tanzania kama jehanam
Kiwango chako cha ujinga ni kikubwa.jaribu kukipunguza.Kilichofanywa na polisi nimakosa makubwa haijalishi huyo bwana alikua na tuhuma kubwa kiasi gani.Hiyo mbinu inaonyesha jinsi ambavyo jeshi la polisi limeishiwa mbinu.wewe unaona sawa kwasababu unajiona uko salama ila hii ni fedhea kubwa na tukifumbia macho vitendo vyakutweza utu wa mtu kama hivyo iko siku vinaweza kukukuta ata wewe.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kuna mahali popote nimeandika kuhusu uchaguzi wa 2020 au unajishuku?
Hapana umeleta habari za wizi wa kura. Nikakumbuka kilio chako cha uchaguzi wa 2020
 
Sasa kama baba anabunduki ulitaka wamuimbie nyimbo aseme iliko????

Unadhani mtuhumiwa wa ujambazi wa siraha ili akuoneshe bunduki iliko ni kazi ndogo??? Ukipewa wewe iyo kazi unaweza hata ukamuacha kumbe mali ipo na ataendelea kuitumia.

Izo ni mbinu tu za kumfanya mtuhumiwa afunguke.

Polisi speed bado ni ndogo sana, nashauri iongezwe ili wahalifu wapaone Tanzania kama jehanam
😡😡😡😡😡
 
Hapana umeleta habari za wizi wa kura. Nikakumbuka kilio chako cha uchaguzi wa 2020

Hapa nakupa madhara ya hicho kilio changu cha wizi wa kura. Usitegemee uwajibishwaji wa hao polisi, maana viongozi walioko madarakani hawana uwezo wa kugusa nguzo yao halisi ya kuwaweka madarakani.
 
Back
Top Bottom