barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Vaa hiyo jezi upite madrid kuna zawadi pia.Vaa jezi ya Ramos upite katikati ya jiji LA Cairo au Liverpool. Kuna zawadi inatolewa
Mbona waingereza Manutd na everton wao full shangwe??Uingereza watahakikisha Ramos hafiki mbali.
Kwa fitna, Uingereza nawakubali
daah mkuu kila nikion post yako napata furah sana nikikumbuka kwenye thread ya koboko duu hatari tupu..Wamisri kwa viherehere nawajua vizuri
Wanaweza kumwambia Salah arudi Cairo akale mkate na achezee Zamalek hahaha
Swaumu hii
Ndio ujanja huo mkuu, mwisho wa siku mission accomplished na hii case itatupiliwa mbali.Ukiangalia vizuri nakwamakini Ramos alidhamilia kabisa
Alishift landing area nakujirushia kwenye eneo ambalo naturally asingeangukia kama angeendelea kudondoka kihalisia walivokuwa wakianguka.
Kushift landing point makusudi ndio root cause ya ushenzi uliotokea.
Fitina zilizoshindwa kuisadia nchi kuchukua kombe la dunia, walimshindwa Maradona kwa kuwafunga goli la mkono hadharani ndio wamzuie Ramos kucheza soka?Uingereza watahakikisha Ramos hafiki mbali.
Kwa fitna, Uingereza nawakubali
Kwani na wewe ni mmisri???Huyo wakili nae ana mawenge atasemaje kuumia kwake kume athili wana Egypt wote?Binafsi wala siku athilika kwa lolote lile.
Nenda mahakamani na wewe mkuu. Sio mara ya kwanza hii.Ukiangalia vizuri nakwamakini Ramos alidhamilia kabisa
Alishift landing area nakujirushia kwenye eneo ambalo naturally asingeangukia kama angeendelea kudondoka kihalisia walivokuwa wakianguka.
Kushift landing point makusudi ndio root cause ya ushenzi uliotokea.
You Will Always Walk Alone.Huyo ramos hata mimi nikikutana nae walahi nampiga hata jiwe, *****!
Kama wangekuwa na muingereza alafu ni jembe kisha akaumizwa hivyo, sijui wangesemaje?? Nafikiri wangeenda kuandamana kwa Putin kwa kucjanganyikiwa.Akacheze karata kama hataki kuumizwa, watu wanavunjwa miguu yote na maisha yanaendelea. Huyu kipapatio tu ukunga Kila mahali. Uingereza mpira umeisha, sahivi kelele tu.
Liverpool; will never walk alone.You Will Always Walk Alone.
I have come to realize that YNWA is just a saying.Liverpool; will never walk alone.