Sergio Ramos ashitakiwa mahakamani kwa kumwumiza kwa makusudi Mohammed Salah; kulipa €1bn.

Sergio Ramos ashitakiwa mahakamani kwa kumwumiza kwa makusudi Mohammed Salah; kulipa €1bn.

Ukiangalia vizuri nakwamakini Ramos alidhamilia kabisa

Alishift landing area nakujirushia kwenye eneo ambalo naturally asingeangukia kama angeendelea kudondoka kihalisia walivokuwa wakianguka.

Kushift landing point makusudi ndio root cause ya ushenzi uliotokea.
 
Vaa jezi ya Ramos upite nayo kati kati ya jiji la Cairo ndo utajua kwanini mavi hayana miba lakini ukiyakanyaga lazima uchechemee.
 
Huyo ramos hata mimi nikikutana nae walahi nampiga hata jiwe, *****!
 
Ukiangalia vizuri nakwamakini Ramos alidhamilia kabisa

Alishift landing area nakujirushia kwenye eneo ambalo naturally asingeangukia kama angeendelea kudondoka kihalisia walivokuwa wakianguka.

Kushift landing point makusudi ndio root cause ya ushenzi uliotokea.
Ndio ujanja huo mkuu, mwisho wa siku mission accomplished na hii case itatupiliwa mbali.
 
Huyo wakili nae ana mawenge atasemaje kuumia kwake kume athili wana Egypt wote?Binafsi wala siku athilika kwa lolote lile.
 
Uingereza watahakikisha Ramos hafiki mbali.
Kwa fitna, Uingereza nawakubali
Fitina zilizoshindwa kuisadia nchi kuchukua kombe la dunia, walimshindwa Maradona kwa kuwafunga goli la mkono hadharani ndio wamzuie Ramos kucheza soka?
Tena UEFA msimu ujao wasiombe timu yao moja wakutane na Madrid wataoga nyingi Ramos akicheza.
 
Ukiangalia vizuri nakwamakini Ramos alidhamilia kabisa

Alishift landing area nakujirushia kwenye eneo ambalo naturally asingeangukia kama angeendelea kudondoka kihalisia walivokuwa wakianguka.

Kushift landing point makusudi ndio root cause ya ushenzi uliotokea.
Nenda mahakamani na wewe mkuu. Sio mara ya kwanza hii.
 
Akacheze karata kama hataki kuumizwa, watu wanavunjwa miguu yote na maisha yanaendelea. Huyu kipapatio tu ukunga Kila mahali. Uingereza mpira umeisha, sahivi kelele tu.
Kama wangekuwa na muingereza alafu ni jembe kisha akaumizwa hivyo, sijui wangesemaje?? Nafikiri wangeenda kuandamana kwa Putin kwa kucjanganyikiwa.
 
Back
Top Bottom