Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Asante sanadaah mkuu kila nikion post yako napata furah sana nikikumbuka kwenye thread ya koboko duu hatari tupu..
hakika mkuu, uko vzr sanaAsante sana
Tupo kupeana machache na kufurahi pia. Maana furaha huongeza umri eti
hahaha jf raha sana.You Will Always Walk Alone.
wee pia inapaswa ushitakiwe kwa kuharibu jina la bwana Salah kwa kumpachika jinsia ya ke'Vuguvugu la fainali ya UEFA limeendelea kushika kasi hasa kuhusu suala la kuumia kwa mchezaji wa Liverpool; Mohammed Sarah ambaye baadhi wanadai aliumizwa kwa makusudi ili kuhakikisha Real Madrid inaibuka kidedea.
Huko nchini Misri, mmoja wa wanasheria nguli nchini humo aitwaye Bassem Wahba amesema atafungua mashtaka mahakamani dhidi ya bwana Ramos kwa kile anachodai kuwa katika mchezo huo, Sergio Ramos alimwumiza kwa makusudi Mohammed Sarah na kumsababishia maumivu ya kimwili na kisaikolojia yeye sarah na watu wa Misri wote.
Mwanashera huyo amesema pamoja na kupeleka malalamiko rasmi FIFA, Sergio Ramos anastahili kuadhibiwa kwa kitendo hicho. Pia aliongeza kuwa mbali na kudai fidia hiyo ya €1bn, kuna uwezekano kiwango hicho kikaongezeka.
Egyptian lawyer files €1billion lawsuit against Sergio Ramos in Champions League final | Daily Mail Online
Uingereza watahakikisha Ramos hafiki mbali.
Kwa fitna, Uingereza nawakubali
Ingependeza zaidi ungejifunza tofauti ya 'L' na 'R'Vuguvugu la fainali ya UEFA limeendelea kushika kasi hasa kuhusu suala la kuumia kwa mchezaji wa Liverpool; Mohammed Sarah ambaye baadhi wanadai aliumizwa kwa makusudi ili kuhakikisha Real Madrid inaibuka kidedea.
Huko nchini Misri, mmoja wa wanasheria nguli nchini humo aitwaye Bassem Wahba amesema atafungua mashtaka mahakamani dhidi ya bwana Ramos kwa kile anachodai kuwa katika mchezo huo, Sergio Ramos alimwumiza kwa makusudi Mohammed Sarah na kumsababishia maumivu ya kimwili na kisaikolojia yeye (Sarah) na watu wa Misri wote.
Mwanashera huyo amesema pamoja na kupeleka malalamiko rasmi FIFA, Sergio Ramos anastahili kuadhibiwa kwa kitendo hicho. Pia aliongeza kuwa mbali na kudai fidia hiyo ya €1bn, kuna uwezekano kiwango hicho kikaongezeka.
Egyptian lawyer files €1billion lawsuit against Sergio Ramos in Champions League final | Daily Mail Online
Hayo sio mambo ya mpira. Ni uhalifu.FIFA inakatazamambo ya mpira kupelekwa mahakamani.
Kesi wafungue wengine kucheza afungiwe salah? Hakuna sheria ya namna hiyo!!Ni hizo za kusuruhisha masuala ya michezo mkuu! Wakienda kwingine Sarah anafungiwa kucheza mpira.
Mbona sasa Salah alitoka uwanjani?Anatafuta kiki huyo, mambo ya uwanjani yanaishia uwanjani
Hiyo suit imefunguliwa egypt. Means ramos atakuwa mtuhumiwa tu atakapo kanyaga ardi ya misri. Otherwise hakuna wa kumkata, na kesi itapotelea hewan na jamaa ataendelea kufunda.Kuna mahakama za mpira mkuu!!