goggles
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,415
- 2,358
Huenda alimuulia alikoutoa msemo huoalikwambia ameutoa huo msemo humo??
Ujuaji mwingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda alimuulia alikoutoa msemo huoalikwambia ameutoa huo msemo humo??
Ujuaji mwingi.
Halafu anadai yeye ni yuko bize.. 😀😀Sasa umekasirika au.... Nashangaa uzi toka page ya kwanza hadi hii ya saba ni wewe tu unatrend... Kisa? Kumuonea wivu Ramos alivyopost kiswahili.
hongera kwa kumiliki pepo la utambuziunaijua film ya THE LION KING? Huo msemo kautoa humo.
Sio walitaka kumiliki hilo neno pamoja ni Kiswahili lakini ni bland name ya mtu na inamilikiwa na wazungu jaribu kutumia uwone kama ujafungwa tumia mdomo tu lakini sio kwenye bidhaa.Disney walitaka kuimiliki eti kisa wanaitumia kwenye The Lion King.
mkuu utaongea mpaka uchoke hicho kimama ni kijuaji sanahongera kwa kumiliki pepo la utambuzi
Sio Ramos tu kutumia hilo neno hata bibie Georgina Rodriguez baby mama wa CR7Tuwekane sawa jamani.
Issue hapa hatubishi kuwa hao Disney hawatumii huo msemo.. wala hatubishi kuwa huo msemo ni Mali yao..
Issue hapa ni mjuaji mpka ndani ya mioyo ya watu bibi mama Victoire kujifanya kutabiri na kueleza hisia za mtu.. Kuwa Ramos kutumia hiyo slogan basi yeye (victoire) anadai eti ana uhakika asilimia 200 kuwa Ramos kautoa huo msemo humo. wakati sisi wote hatujui ila yeye kwakuwa ni ndugu yake na Ramos basi aliambiwa [emoji3][emoji3][emoji3]
Mtu kaja kutufafanulia kuwa Ramos mwenyewe amesema kuwa alipost hiyo slogan. (Hakuna Matata).
Kwani anashukuru kwa kuanza mwaka bila kupewa red card maana kwake ni kawaida sana..
Sasa huyu mama kakazana kaitoa humo kwenye hiyo movie..!
Acha niondoke napoteza muda [emoji3][emoji3]
Wakenya wanatumia Kiswahili sana kushinda sie au?
So mke wa cr7 nae kautoa huko kwenye Lion King?? 😀😀Sio Ramos tu kutumia hilo neno hata bibie Georgina Rodriguez baby mama wa CR7
Aah sijui bhana dunia nikubwa hii wanajua wenyewe wanayatolea wapi hayo maneno au kusikia wapi lakini wao hili neno wanalitafsiri it means no worries 'HAKUNA MATATA'So mke wa cr7 nae kautoa huko kwenye Lion King?? [emoji3][emoji3]
Hujui kama wakenya ndo walikwenda South ? Kuna watanzania wamekwenda South na Ethiopia ? Au unaamini maneno ya Kabudi ? Hadi huruma,hili taifa lina safari ndefu kwa kweli.
EthiopiaHujui kama wakenya ndo walikwenda South ? Kuna watanzania wamekwenda South na Ethiopia ? Au unaamini maneno ya Kabudi ? Hadi huruma,hili taifa lina safari ndefu kwa kweli.
Hujui kama wakenya ndo walikwenda South ? Kuna watanzania wamekwenda South na Ethiopia ? Au unaamini maneno ya Kabudi ? Hadi huruma,hili taifa lina safari ndefu kwa kweli.
Wewe lugha yako ipi
Watalii wengi walio zuru Kenya wanafahamu msemo hakuna matata ambao umetajwa kwenye moja ya nyimbo maarufu- kenya hakuna matata.
Ila kweli bhana mbona hatutumiagi ilo neno katika maongezi yetu.Mwenye kutumia sentensi iyo huwa tunamchukulia kuwa hajui kiswahili vizuri mana usahihi wake ni HAMNA SHIDA,HAKUNA SHIDA,HAMNA TABU,HAKUNA TABU.Neno MATATA tunalitumia sana kuonyesha uzuri wa umbo mf DEMU ANA FIGA MATATA labda tunatumia zaidi neno UTATA kuliko iyo MATATA.Mara nyingi kiswahili kimekuwa kikirejewa kwamba ni toka kenya.Nafikiri hii kwasababu movie nyingi zinachezewa Kenya ukilinganisha na Tanzania.Na hii nikwa sababu kuna sheria nyingi kuwabana makampuni yanayotaka kutumia location za Tanzania.Hii yanikumbusha kuusadiki uzi wa member mmoja kuhusu UKAKASI uliopo pindi wanapohitaji kufanya filamu nchini.Sasa iyo HAKUNA MATATA ni swahili toka Kenya mbaya zaidi na Kiswahili chenyewe lazima uikute Kenya yakwanza Kuainishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha sema 100%asilimia 200