Sergio Ramos katumia Kiswahili katika akaunti yake

Sergio Ramos katumia Kiswahili katika akaunti yake

Tuwekane sawa jamani.
Issue hapa hatubishi kuwa hao Disney hawatumii huo msemo.. wala hatubishi kuwa huo msemo ni Mali yao..

Issue hapa ni mjuaji mpka ndani ya mioyo ya watu bibi mama Victoire kujifanya kutabiri na kueleza hisia za mtu.. Kuwa Ramos kutumia hiyo slogan basi yeye (victoire) anadai eti ana uhakika asilimia 200 kuwa Ramos kautoa huo msemo humo. wakati sisi wote hatujui ila yeye kwakuwa ni ndugu yake na Ramos basi aliambiwa 😀😀😀

Mtu kaja kutufafanulia kuwa Ramos mwenyewe amesema kuwa alipost hiyo slogan. (Hakuna Matata).
Kwani anashukuru kwa kuanza mwaka bila kupewa red card maana kwake ni kawaida sana..

Sasa huyu mama kakazana kaitoa humo kwenye hiyo movie..!

Acha niondoke napoteza muda 😀😀
 
Disney walitaka kuimiliki eti kisa wanaitumia kwenye The Lion King.
Sio walitaka kumiliki hilo neno pamoja ni Kiswahili lakini ni bland name ya mtu na inamilikiwa na wazungu jaribu kutumia uwone kama ujafungwa tumia mdomo tu lakini sio kwenye bidhaa.
 
Tuwekane sawa jamani.
Issue hapa hatubishi kuwa hao Disney hawatumii huo msemo.. wala hatubishi kuwa huo msemo ni Mali yao..

Issue hapa ni mjuaji mpka ndani ya mioyo ya watu bibi mama Victoire kujifanya kutabiri na kueleza hisia za mtu.. Kuwa Ramos kutumia hiyo slogan basi yeye (victoire) anadai eti ana uhakika asilimia 200 kuwa Ramos kautoa huo msemo humo. wakati sisi wote hatujui ila yeye kwakuwa ni ndugu yake na Ramos basi aliambiwa [emoji3][emoji3][emoji3]

Mtu kaja kutufafanulia kuwa Ramos mwenyewe amesema kuwa alipost hiyo slogan. (Hakuna Matata).
Kwani anashukuru kwa kuanza mwaka bila kupewa red card maana kwake ni kawaida sana..

Sasa huyu mama kakazana kaitoa humo kwenye hiyo movie..!

Acha niondoke napoteza muda [emoji3][emoji3]
Sio Ramos tu kutumia hilo neno hata bibie Georgina Rodriguez baby mama wa CR7
 
Hujui kama wakenya ndo walikwenda South ? Kuna watanzania wamekwenda South na Ethiopia ? Au unaamini maneno ya Kabudi ? Hadi huruma,hili taifa lina safari ndefu kwa kweli.
Ethiopia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sudani kusini
Hujui kama wakenya ndo walikwenda South ? Kuna watanzania wamekwenda South na Ethiopia ? Au unaamini maneno ya Kabudi ? Hadi huruma,hili taifa lina safari ndefu kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi kiswahili kimekuwa kikirejewa kwamba ni toka kenya.Nafikiri hii kwasababu movie nyingi zinachezewa Kenya ukilinganisha na Tanzania.Na hii nikwa sababu kuna sheria nyingi kuwabana makampuni yanayotaka kutumia location za Tanzania.Hii yanikumbusha kuusadiki uzi wa member mmoja kuhusu UKAKASI uliopo pindi wanapohitaji kufanya filamu nchini.Sasa iyo HAKUNA MATATA ni swahili toka Kenya mbaya zaidi na Kiswahili chenyewe lazima uikute Kenya yakwanza Kuainishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kweli bhana mbona hatutumiagi ilo neno katika maongezi yetu.Mwenye kutumia sentensi iyo huwa tunamchukulia kuwa hajui kiswahili vizuri mana usahihi wake ni HAMNA SHIDA,HAKUNA SHIDA,HAMNA TABU,HAKUNA TABU.Neno MATATA tunalitumia sana kuonyesha uzuri wa umbo mf DEMU ANA FIGA MATATA labda tunatumia zaidi neno UTATA kuliko iyo MATATA.
 
Back
Top Bottom