Series (Special thread)

this has been appreciated like a lot Vincenzo Jr'..!!πŸ™
 
there's something kuhusu hiyo Paradise Cassano (niliona tu trailer), nisaidie kuitazama hebu halafu useme kitu tafadhali..
Mda ule wakati nakupa link nilivyomaliza nilicheki ep Moja aisee imenishawishi yaani imenitongoza aisee series kalii sana bonge la story hapa nasubiria nikitoka job baadae niguse EP ya 2 afu niende kumalizia slow horses season 3
 
Korean Movie: Dirty Money
Itafuteni hii movie inahusiana na Polisi wawili waliokuwa wanafuatilia case ya crime yenye pesa ndefu ambayo imesababisha jamaa mmoja kuuwawa kutokana na kuwa na shida zao binafsi wanajikuta wanavunja Sheria au maadili ya kipolisi nakujikuta wanaingia tamaa za kufuatilia mchongo wa hizo hela ili zikatibu shida zao binafsi bila kujua chimbuko la hizo pesa Nini? Watu gani wapo behind na hatari zinazoweza kuwakuta.
 
Ngoja niidownload
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…