Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
ItafuteSeason 1 mbna kama sijaangalia
Season 2 imeshatoka kumbe? π³π³π³
Ina comedy hyoItafute
Watuletee na hii. Series za wa English huwa zina ldha ya tofauti. Kwanza kimalikia kincho zungumzwa humo na lafudhi yake mambo huwa murua kbisaGANGS OF LONDON SEASON 3
inatoka mwezi march
Hii yule dogo mlima bange aliyatimbaWatuletee na hii. Series za wa English huwa zina ldha ya tofauti. Kwanza kimalikia kincho zungumzwa humo na lafudhi yake mambo huwa murua kbisa
View attachment 3218917
Nimeangalia movie yake ya Guy Ritchie. Hii itakuwa poa sana.Watuletee na hii. Series za wa English huwa zina ldha ya tofauti. Kwanza kimalikia kincho zungumzwa humo na lafudhi yake mambo huwa murua kbisa
View attachment 3218917
Ilinicheksha yule dogo aliambiwa awike kama kuku. Ikabidi apige kwanza unga kujiweka sawaHii yule dogo mlima bange aliyatimba
Ngoja niitafuteKorean Movie: Dirty Money
Itafuteni hii movie inahusiana na Polisi wawili waliokuwa wanafuatilia case ya crime yenye pesa ndefu ambayo imesababisha jamaa mmoja kuuwawa kutokana na kuwa na shida zao binafsi wanajikuta wanavunja Sheria au maadili ya kipolisi nakujikuta wanaingia tamaa za kufuatilia mchongo wa hizo hela ili zikatibu shida zao binafsi bila kujua chimbuko la hizo pesa Nini? Watu gani wapo behind na hatari zinazoweza kuwakuta.
Tamu sana hii series, naiweka level moja na BodyguardWatuletee na hii. Series za wa English huwa zina ldha ya tofauti. Kwanza kimalikia kincho zungumzwa humo na lafudhi yake mambo huwa murua kbisa
View attachment 3218917
Uliipata yenye lugha mbili?Ngoja niidownload
Mayor nzuri. Mishen town na namna ya kujipatia kipato nje y mfumo rasmiSasahivi nafatilia kazi za nyuma kidogo ila za wagumu ili nipate ladha adimu za kibishi. Nipo na
1. Daredevil
2. Mayor of Kingstown.
Kama hukufanikiwa kuziona fanya juu chini uzitazame
Daredevil inarudi tena mwezi march na season 3Sasahivi nafatilia kazi za nyuma kidogo ila za wagumu ili nipate ladha adimu za kibishi. Nipo na
1. Daredevil
2. Mayor of Kingstown.
Kama hukufanikiwa kuziona fanya juu chini uzitazame
Hadi Mimi nilicheka sana kaka π π π π jamaa aliwika kama kukuIlinicheksha yule dogo aliambiwa awike kama kuku. Ikabidi apige kwanza unga kujiweka sawaView attachment 3218940
Kama unapenda drama ichekiWakuu hii vipi kwa aliyeicheki