Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
Jamani Miss Kelly kaniumiza moyo when she said"You only know how love hurts when you love the wrong person,thats true love" and it really hurts...nimefurahi kweli alipomzaba kibao jamaa naona angemzibua na cha shavu jingine pia :lol::lol:Tumemkabidhi gorgeousmimi kwa Travis rasmi..
Ni kweli hajijui she is messed up she even mentioned it happens sometimes when you love two people you feel pulled from both directions...lakini mtaka vyote hukosa vyote!!Ye mwenyewe hajui....anampendea Randol starehe tu.....!
Peppa katili kweli she is playing all innocent wakati she is pure evil umeona alivyomlaghai Mercie kuwa Randol only smells her perfume at the area he tucks his shirt coz she hugged him....:shocked::shocked::shocked: with assurance dah...she is all over him bibi sitaki nataka...i hope she is pregnant with Randol´s child aumbuke!!!na humpati....wewe na Alex aka Peppa....muongo anakuangalia hapo machoni na kujichekesha.....mwanamke katili sana yule
"You need someone hot like chill hot Peppa"basi..si mshanipa mercie..nimekubalia...hadi sasa sijajua alex anampenda nani zaidi..brad au randal
"you need someone hot like chill hot peppas"
Peppa katili kweli she is playing all innocent wakati she is the pure evil umeona alivyomlaghai mercie kuwa randol only smells her perfume at the area he tucks his shirt coz she hugged him....:shocked::shocked::shocked: with assurance dah...she is all over him sitaki nataka...i hope she is pregnant with randols child aumbuke!!!
Trust ni kitu kingine kabisa.....the problem is that she is so innocent she is missing all the signals that the man resists her...Thats a big THING....No man who loves you will sleep on the same bed with you for 6 months without jiggy jiggy it means he is getting the pleasure else where...Umeona wapi simba mwenye njaa akapewa mnofu akasema nimeshiba???Marcie nae anakubali tu kirahisirahisi
Ha ha ha umenifurahisha ww eti kiasi mviringo lol :lol::lol::lol::lol::lol::lol:spare me my ribs please!!!Sio best angu tena..Travis ni kiazi yule..tena kiazi mviringo..hata simuelewi..bt I hope watakuwa sawa tu..soon Kelly atalegeza msimamo
Ha ha ha umenifurahisha ww eti kiasi mviringo lol :lol::lol::lol::lol::lol::lol:spare me my ribs please!!!
Yap disgusting indeed...Aliona raha because she got the attention she was seeking for...But i hate the way Randol makes her feel delusional while she is just being honest and sincere!!!gorgeousmimi I av no clue wat kind of trust is that..she's so in love to the point that she cnt even notice those changes..I feel pity for her..she was very happy the day they jiggy jiggy on the window without knowing that Randal anamjiggy kwa kuvuta hisia za mwanamke mwingine..that was bad
Kiazi mviringo kabisa ha ha ha!!!Hahha...kwani bado hujaona kama ni kiazi yule??
Kiazi mviringo kabisa ha ha ha!!!
Kabisa yaani she is a hot chick...lakini wanaume nyinyi hamtabiriki kama mvua za masika...gorgeousmimi Dada wa watu mpaka anahisi labda kutoshika mimba ndo tatizo..kumbe chizi mapenzi randol kakolea kwa mchepuko...kwa Alex sijui kafwata nn?? Sijui ndo kubadili ladha..mbona Marcie ni mzuri tu..anavutia na kushawishi
Uwiiii jamani ndo nimepewa mammas boy kweli!Ntamlea mpaka apevuke....utoto unamsumbua!!He is lost!!!Ndo mpnz wako sasa..utafanya nn..inabidi umzoee tu
Kabisa yaani she is a hot chick...lakini wanaume nyinyi hamtabiriki kama mvua za masika...
Uwiiii jamani ndo nimepewa mammas boy kweli!Ntamlea mpaka apevuke....utoto unamsumbua!!He is lost!!!
Yaani itakapotokea na maamuzi ndio yatapofanyika hapohapo,but naomba isitokeee ni hatari.Siombei ikutokee,ila ukipata mtu wa karibu akawa hivyo utamfanyaje? utamtenga?
Yaani itakapotokea na maamuzi ndio yatapofanyika hapohapo,but naomba isitokeee ni hatari.
Ila changamoto inakuaje inakuaje Mwanaume anakua na nyege za Kumuoa mwanaume mwenzie?huo si ushetani huo?