Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Movie " whiteout" hii Kali sana itafuteni inahusiana na wakati wanafanyakazi wa kampuni fulani wanavamiwa na kundi la kigaidi na kutekwa wanapelekwa sehemu ya mafichoni huko wanapata mateso ya kufa mtu, kimbembe kinakuja namna ya kutoroka ili waokoe maisha yako.Nilichopendea kwenye hii movie main enemy Ni ngumu kumjua mpaka mwishoni mwishoni hivi ndio anajulikana hii Ni tofauti na movie nyingi
NtaitafutaMovie " whiteout" hii Kali sana itafuteni inahusiana na wakati wanafanyakazi wa kampuni fulani wanavamiwa na kundi la kigaidi na kutekwa wanapelekwa sehemu ya mafichoni huko wanapata mateso ya kufa mtu, kimbembe kinakuja namna ya kutoroka ili waokoe maisha yako.Nilichopendea kwenye hii movie main enemy Ni ngumu kumjua mpaka mwishoni mwishoni hivi ndio anajulikana hii Ni tofauti na movie nyingi
Mbona nikiangalia trailer na ulichokiandika hapo ni vitu viwili tofauti. Au unayoisemea ni ya mwaka gani?Movie " whiteout" hii Kali sana itafuteni inahusiana na wakati wanafanyakazi wa kampuni fulani wanavamiwa na kundi la kigaidi na kutekwa wanapelekwa sehemu ya mafichoni huko wanapata mateso ya kufa mtu, kimbembe kinakuja namna ya kutoroka ili waokoe maisha yako.Nilichopendea kwenye hii movie main enemy Ni ngumu kumjua mpaka mwishoni mwishoni hivi ndio anajulikana hii Ni tofauti na movie nyingi
Ukiwa makini hela zipo nduguTatizo Bongo uki invest hela nyingi unapata hasara 😂😂
Ngoja niidownloadWeekend in TaipeiView attachment 3188145View attachment 3188147
Ngoja niidownloadMovie " whiteout" hii Kali sana itafuteni inahusiana na wakati wanafanyakazi wa kampuni fulani wanavamiwa na kundi la kigaidi na kutekwa wanapelekwa sehemu ya mafichoni huko wanapata mateso ya kufa mtu, kimbembe kinakuja namna ya kutoroka ili waokoe maisha yako.Nilichopendea kwenye hii movie main enemy Ni ngumu kumjua mpaka mwishoni mwishoni hivi ndio anajulikana hii Ni tofauti na movie nyingi
Ndiyo naianza, sema ndiyo sipendi mambo ya arosto..!!🙌
Kwenye movie? Sijui maana Bongo watu wamepunguza sana kufuatilia movie za nyumbani.Ukiwa makini hela zipo ndugu
Mkuu hii ipo moto pia?
Nasubiri season 1 yote iishe nianze na huu mdude