Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Exactly 😂 😁Jamaa alikufa kishujaa sana nilidhani angemtwanga risasi player 456😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly 😂 😁Jamaa alikufa kishujaa sana nilidhani angemtwanga risasi player 456😀
Hii nzuri sana hii 🔥Wazee wa heist
Jarbu moto wa SPECIAL OPS LIONESSSijaona ngoma kama Blacklist, homeland, FBI...hizo kwangu ni Kali Sana.
Muongezee na jack RyanJarbu moto wa SPECIAL OPS LIONESS
Inaonekana ina balaa
Hii bado sjaaianzaView attachment 3190781
Penzi la hawa jamaa kwenye agency ni 🔥🔥, yaani mdau kamteka demu, kamtesa halafu demu anaomba kabisa kumtunuku muhuni
Bado haujawahi kuicheki?Inaonekana ina balaa
Malizia na hizi.The killer's game ni unyama mwingi
Hii series ina mambo mengi ya kimaisha. Haiishii tu kwenye swala la kutoroka gerezani bali usaliti, kujiyoa muhanga, family matters, na mambo mengi. Hii jackal ina issue chache ikiwa ni pamoja na political issues, assassinations na mambo y kifamilia kwa uchacheChief umenirudisha nyuma miaka zaidi ya 15, nimerudia kuangalia Tena PRISON BREAK. Ndio Nimemaliza So1.
1 prison break = 100 Jackals
shadow stray tayari...ngoja niruke na hiyo canary blackMalizia na hizi.
Shadow strays
Canary black.
Unyama unyama unyama yaani namaanisha unyama
Kwa maoni yangu shadow strays inazizidi zote hizo mbili. Kama umesha iona ni jambo jemashadow stray tayari...ngoja niruke na hiyo canary black
Uko sawa. Kuna story line nyingine nimekuja kuielewa baada ya kurudia. Nilikuwa nashindwa kuunganisha story vizuri hadi nilipo irudiaKweli kabisa.
Wakati ule naangalia ilikuwa ni mwendo wa kusubiria CD itoke, mara kuna episode zinamic, nyingine zinasratch, mara kukimbizana na vipindi vya class.
Ndio maana nimeamua niirudie kuangalia tena kwa umakini.
SjaichekiBado haujawahi kuicheki?
toa brief inahusu nini
Inahusu farasi wasio na mbio 😁😁😁toa brief inahusu nini