Series (Special thread)

Series (Special thread)

Chief umenirudisha nyuma miaka zaidi ya 15, nimerudia kuangalia Tena PRISON BREAK. Ndio Nimemaliza So1.

1 prison break = 100 Jackals
Hii series ina mambo mengi ya kimaisha. Haiishii tu kwenye swala la kutoroka gerezani bali usaliti, kujiyoa muhanga, family matters, na mambo mengi. Hii jackal ina issue chache ikiwa ni pamoja na political issues, assassinations na mambo y kifamilia kwa uchache
 
Kweli kabisa.
Wakati ule naangalia ilikuwa ni mwendo wa kusubiria CD itoke, mara kuna episode zinamic, nyingine zinasratch, mara kukimbizana na vipindi vya class.
Ndio maana nimeamua niirudie kuangalia tena kwa umakini.
Uko sawa. Kuna story line nyingine nimekuja kuielewa baada ya kurudia. Nilikuwa nashindwa kuunganisha story vizuri hadi nilipo irudia
 
Msiichukulie poa sana hii
1736173778937.jpeg
 
Back
Top Bottom