Series ya Squid Game imefanikiwa kuingiza Dola za Kimarekani 900M ikiwa ni zaidi ya Tshs Trilioni 2, mwezi mmoja tu tangu itoke

Chaos Master

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2021
Posts
636
Reaction score
1,310
Series Ya Squid Game Imefanikiwa Kuingiza Takriban Dola Za Kimarekani Milioni 900 Ikiwa Ni Zaidi Ya Trilioni 2 Tshs Ikiwa Na Mwezi Mmoja Tu Tangu Itoke Rasmi.
-
-
Kwa Mujibu Wa Mtandao Wa Bloomberg Series Hiyo Imetazamwa Na Watu Milioni 132 Kwenye Siku 23 Za Mwanzo Ilipoachiwa Na Hii Kuvunja Rekodi Ya Series Ya Bridgerton Ambayo Ilitazamwa Na Watu Milioni 82 Ndani Ya Siku 28 Za Mwanzo.
-
-
Series Hiyo Inaropitiwa Kugharimu Kiasi Cha Dola Za Kimarekani Milioni 21.4 Ambayo Ni Takribani Bilioni 49 Za Kitanzania.

CC Sammisago
 
Mm nauliza kwavile tunaishi hii Social media era au ni kitu gani? Maana mm mpaka sasa sion kitu special kwenye ile Series, don’t get me wrong.. sisemi kuwa ile ni mbaya ila naona kilichochangia itazamwe sana ni Memes na social media trending watu walikuwa wanaifanyia marketing indirectly bila kujua... still wanafanya mpaka sasa.

Mfano kuna watu wanakuuliza what’s up with this Squid game...hata yule mtu ambae haangaliagi movie, ukimtajia anaenda kuangalia ili aelewe ile pop culture reference kwenye post alioiona[emoji848]
 
Kama hiziView attachment 1979021
 

Exactly... sasa mtu akiona hivi haelewi reference na watu wanacheka nini inabid akaangalie ili apatae kujua nini kinaendelea.

sasa hiv watu tunaangalia media inasema nn utakuta mtu huyo huyo akisifiwa na media anakubalika kesho akibadilikiwa na media watu wanamchukia it’s like hatuwez kufikiria kwa vichwa vyetu aisee
 
Sema above all series kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…