Mm nauliza kwavile tunaishi hii Social media era au ni kitu gani? Maana mm mpaka sasa sion kitu special kwenye ile Series, don’t get me wrong.. sisemi kuwa ile ni mbaya ila naona kilichochangia itazamwe sana ni Memes na social media trending watu walikuwa wanaifanyia marketing indirectly bila kujua... still wanafanya mpaka sasa.
Mfano kuna watu wanakuuliza what’s up with this Squid game...hata yule mtu ambae haangaliagi movie, ukimtajia anaenda kuangalia ili aelewe ile pop culture reference kwenye post alioiona[emoji848]