Series za Marekani / Hollywoon naanza kuziona hazina vibe, Naombeni series za nchi nyingine type ya Narcos

Series zao wanaingiza sana mambo ya WOKE, kutaka kulazimisha mwanamke aonekane anaweza kazi maalum za wanaume, kuingiza sana mambo ya upinde, kuchochea ubaguzi, n.k.

Naombeni series za nchi nyingine type za kina Narcos
Movie ya action steringi akiwa mwanamke huwa siangalii kabisa, maana inakosa uhalisia. Unakuta sista duu tu kama zuchu anamtembezea kichapo kipande cha mtu kama mwarabu fighter
 
Series zao wanaingiza sana mambo ya WOKE, kutaka kulazimisha mwanamke aonekane anaweza kazi maalum za wanaume, kuingiza sana mambo ya upinde, kuchochea ubaguzi, n.k.

Naombeni series za nchi nyingine type za kina Narcos
Mtu katengeneza kazi yake kwa pesa yake wewe unasema kalazimisha mambo usiyokubaliana nayo!
 
Back
Top Bottom