Series za Marekani / Hollywoon naanza kuziona hazina vibe, Naombeni series za nchi nyingine type ya Narcos

Series za Marekani / Hollywoon naanza kuziona hazina vibe, Naombeni series za nchi nyingine type ya Narcos

😅😅 sawa hebu nitaitafuta
images.jpeg


Chica Gee
 
Sema hauzijui bhana.

Angalia hii movie halafu uje urudie kuandika uliyo yaandika hapa.
Naijua iyo. Ndio upuuzi ule ule wa mwanamke kwenda kwenye mission za kijeshi. Hao wamerekani wenyewe wanawatengenezea movie tu lakini wakipeleka majeshi yao Afighanstan uko hawawezi kupeleka mwanamke front line
 
Uki taka vyuma vya Asia, Anza na wachina na korea, japan full mkono na panga baadhi.

01, cruel romance
02, arrow on the bow string
03, woman in the swordman family
04, joy of life (panga)
05, sword snow stride (panga)
06, vigilante in the mask (panga)
07, sword dynasty
08, ingineous one (panga)
Korea( mkono na panga)
09, fox violant

Korea
01, iris
02, six flying dragons (panga).
03, big mouth
04, tell me what you saw
05, descendants of the sun
06, my country (panga)
07, shine or go crazy (panga)
08, awaken
09, again my life
10, two weeks
11, giant
12, basketball

Japan
01, Alice in borderland
02, lari
03, cold case
04, kakegerui
05, house of ninjas
06, Tokyo swindlers
07, like a dragon (Yakuza)

Vipi niendelee? Selikavu, nyau de adriz
Unayumba Mzee au uneshajiunga Ghayos Gang mnakinukisha wewe na The Mongolian Savage
 
Back
Top Bottom