Series za Marekani / Hollywoon naanza kuziona hazina vibe, Naombeni series za nchi nyingine type ya Narcos

Series za Marekani / Hollywoon naanza kuziona hazina vibe, Naombeni series za nchi nyingine type ya Narcos

Tasya_Teles_by_Gage_Skidmore.jpg

Echo huyu hapa Cc dosho12

Mtoto kama keki
 
Wacanda wengi naona wana asili ya Ethiopia mfano mzuri ni the Weeknd na bibie mmoja hivi anaitwa Lizayohannes
Kuna mmoja yupo kwenye shanara na riverdale anajina la kibogo anaitwa Vanessa Morgan Mzirai naye pia kazaliwa canada
 
Back
Top Bottom