Series za Marekani / Hollywoon naanza kuziona hazina vibe, Naombeni series za nchi nyingine type ya Narcos

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    37.9 KB · Views: 15
Bora niirudie hii
Kuna kitu kimoja huki jui, movie & series ni product.

watazamaji ni customer wa bidhaa hiyo, so as long as hupendi bidhaa fulani Haina maana ni mbaya au itakosa wateja.

Infact Chinese, Korea na Japan Wana kusanya mpunga mwingi Sana kwenye worldwide markert (you can Google that).

Fan base yao ni kubwa kinyama duniani(this is business bro)
 
Ndio maana baadhi ya wanawake huitwa pisi kali mkuu, hiyo taswira hata kwenye movie inaweza husika
 
Back
Top Bottom