Series za Marekani / Hollywoon naanza kuziona hazina vibe, Naombeni series za nchi nyingine type ya Narcos

Series za Marekani / Hollywoon naanza kuziona hazina vibe, Naombeni series za nchi nyingine type ya Narcos

dah! bora wabongo, wahindi waongo sana kuna moja niliona, Starring yupo na farasi lori limemlenga akakimbiza farasi akailaza chini hadi ikatoa cheche lori likapita juu yao.
😂😂😂 Hatari sana ila utakuta mtu anasifia" Movie kali sana, wahindi wapo juu bana, mimi nimeamia huku sitaki kuangalia movie za upinde" unaruka mkojo unakanyaga mavi ila sisi waafrica kichwani tuna itilafu sio ndogo yaani kama tumelaaniwa vile, unakuta mtu anakuuandikia list ndefu ya movie alizoziangalia kama sifa vile, hizi movie Sidhani kama hata wenyewe wanaangaliaga hivi vituko ila uku africa tumekomaa tu na huu upuuzi
 
Back
Top Bottom