Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Upo dar es salaam?Na nani tena 🙄?
Upo dar es salaam?Na nani tena 🙄?
HapanaUpo dar es salaam?
Yule dogo anabalaa mno ila Kuna muda gari ilipaa 😄😃😃kuna hyo peninsula kuna dogo anaendesha gari ka vin disel
Na kuna nyingine inaitwa the call pia ni nzuri
Vin ushaicheki kaleidoscopeNdio mkuu
😎 Upo pande zipiHapana
Hiko chuma sio powa Kuna demu mmoja mkali sana mule na yupo pia mkali don Gus fring wa kwenye breaking badVin ushaicheki kaleidoscope
Nipo pande za JF 😎😎 Upo pande zipi
Unajua kuwa et ile series unaweza ukangalia kwenye order unayotaka weweHiko chuma sio powa Kuna demu mmoja mkali sana mule na yupo pia mkali don Gus fring wa kwenye breaking bad
Njoo basi kigamboni kesho tupate supu ya kongoro pm yangu Iko wazi nitakununulia abaya 😎😎Nipo pande za JF 😎
Kuna yule mchumba kutoka Iran muleUnajua kuwa et ile series unaweza ukangalia kwenye order unayotaka wewe
seriously you two should get a room😎😎Njoo basi kigamboni kesho tupate supu ya kongoro pm yangu Iko wazi nitakununulia abaya 😎😎
🤣🤣🤣🤣 Hapana nashukuruNjoo basi kigamboni kesho tupate supu ya kongoro pm yangu Iko wazi nitakununulia abaya 😎😎
Kesho kutwa naenda mbugani naweza nikaenda nae hata mikumi tu 😎seriously you two should get a room😎😎
Lol 😆 karibu kigamboni basi 😎🤣🤣🤣🤣 Hapana nashukuru
Unamjua na huyu mtoto aloo mtoto mzuri kama asali ya taboraUnajua kuwa et ile series unaweza ukangalia kwenye order unayotaka wewe
🙄🙄….kumekuchaseriously you two should get a room😎😎
Huyo nimecheki kwenye series nyingi mno, mara ya kwanza ilikuwa kwenye the 100Unamjua na huyu mtoto aloo mtoto mzuri kama asali ya tabora
![]()
hapo japan tokyo vice haiingii kweli mkuu?Uki taka vyuma vya Asia, Anza na wachina na korea, japan full mkono na panga baadhi.
01, cruel romance
02, arrow on the bow string
03, woman in the swordman family
04, joy of life (panga)
05, sword snow stride (panga)
06, vigilante in the mask (panga)
07, sword dynasty
08, ingineous one (panga)
Korea( mkono na panga)
09, fox violant
Korea
01, iris
02, six flying dragons (panga).
03, big mouth
04, tell me what you saw
05, descendants of the sun
06, my country (panga)
07, shine or go crazy (panga)
08, awaken
09, again my life
10, two weeks
11, giant
12, basketball
Japan
01, Alice in borderland
02, lari
03, cold case
04, kakegerui
05, house of ninjas
06, Tokyo swindlers
07, like a dragon (Yakuza)
Vipi niendelee? Selikavu, nyau de adriz
Aisee unavyo legeza macho mie nasikamisha mkonga 5G🙄🙄….kumekucha
Ndiyo wapi huko Mkuu? Maana huku pande za JF sijawahi sikia hilo eneoLol 😆 karibu kigamboni basi 😎