FEBIANI BABUYA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 2,232
- 4,390
Sema hauzijui bhana.Movie ya action steringi akiwa mwanamke huwa siangalii kabisa, maana inakosa uhalisia. Unakuta sista duu tu kama zuchu anamtembezea kichapo kipande cha mtu kama mwarabu fighter
Angalia hii movie halafu uje urudie kuandika uliyo yaandika hapa.