Uchaguzi 2020 Serikali Amkeni: Taarifa lukuki za kutekwa wagombea wa chama kimoja tu cha siasa zisizo na uthibitisho ni hatari kwa usalama wa taifa

Chadema kuna vituko vingi mpaka unaishia kucheeekaaaaaaa
 
Mbona CCM mnaeneza propaganda ya kusema wameuza form? Nani aliyezinunua sasa hizo form? Toeni ushahidi basi ya mtu anayenunua hizo form. Na huyo anayezinunua anazifanyia nini? Toeni basi hata ushahidi wa kusema huyu anayesema katekwa yuko sehemu flani anakula bata. Au ndo ile stail ya mtuhumiwa mnaamua kujitetea hata kabla ya kusema ni nyinyi wahusika
 
Kumbe kuna watu wananunua hadi fomu na huku wameleta maendeleo makubwa ambayo nchi haijapata tangia uhuru ila sasa wanaogopa uchaguzi hadi wananunua fomu za wagombea, huo ni uthibisho tosha wa jinsi wanavyokubalika kwa wananchi
Wananunua kwa sababu zinauzwa. Ila Lissu hajauza ya kwake usiwe na wasiwasi atakuwa rais October atateuwa Wabunge 10 wataongezeka.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mambo haya yanatakiwa kuundwa tume maalum kwa ajili ya uchunguzi wa haya yanayotokea, Ijapokua kuna visa vingi vinavyothibitisha wagombea kutekwa na kushambuliwa, Bado kuna haja ya kuchunguza haya yote ikiwa kweli hawa watu wanatekwa ama wanauza fomu na kuchukua ela.
 
Hata mimi nakubaliana na wewe! Chadema hamko serious mnachezea hisia za wananchi.
 
Naishauri serikali wagombea wote wa ngazi zote ilikuepusha Mara katekwa Mara kavamiwa Mara sijui imekuwaje,wagombea Hawa wawekwe kitu kinaitwa LOCKDOWN eneo ambalo Ni salama wakae huko lockdown Hadi asubuhi siku ya uchaguzi ndo tuwatowe maana Kama Ni Sera kila mmoja anajua Hadi leo atachagua chama kipi ata aliambiwa Sasa hivi kapige kura ataenda bila ya kapeni na atachagua anayemtaka
 
Wanaonunua hizo fomu ni nani na kwa makusudi au matumizi gani? Haingii akilini. Your argument is naive and babyish.
 
Wewe uko tu apo ,Walioko kwenye Ground to wanakupa info af unaanza kusema.Jitasminini na mjue 2naIshi wote mitaan Kma mnataka THRUGANE na Amani kuipoteza ni rahisi sana.Namjue ulimwenguni wakati ni wakati wa madadiloko ie Belarus/Mali .Chant Down ccm_Babylon sytem
 
Kuna haja ya Jambo hili kufuatiliwa kwa ukaribu maana wataendelea kujiteka na kusingizia wametekwa .
Green guard mmoja wamemla kichwa huko Ukara,many more to go!
Dawa ndiyo hiyo,kuwachinja tu!
 
Uliwahi kusikia mwanachama au kiongozi wa upinzani wameuawa kule Rufiji na Kibiti?

Kinachotakiwa ni kushirikiana na dola kukomesha hii teka/tekwanyara.

Mnaichafua serikali ambayo mnapambania kuiongoza. Hili halitatokea kamwe kikundi chenye chembechembe za kigaidi kuongoza nchi hii[emoji28][emoji28]
 
Wanajiteka na kujitekenya
 
Nadhani umemlenga "Sabaya" na "jiwe" la toCha kwa uhuni uhuni wao! Si ndiyo?
 
Umezungumzia mambo mengi saana Lakin nimegundua umejawa na uchama, upenzi na ushabiki kwa chama chako. Kumbuka hao ni watanzania wenzako wanahaki kama ulizonazo wewe kama raia, utofauti ni hitikadi tu. Let them challenge we may get a way forward for comprehensive plans in our land
 
Naona kwa mbali unaanza kurudisha mawazo ya utu ila tatizo n moja kwamba unapenda Aman lakin hutambui haki kuwa ndio msingi wa Aman. Hapo umekuwa Kama mzani ulioelemewa na jiwe. Hawa wanaotekwa au kupigwa mapanga umethibitsha wanajteka na kujikata? Hao usalama wakowapi kuthibitisha acha kuwa na ngoz ya kondoo angal u chui
Un
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…