Uchaguzi 2020 Serikali Amkeni: Taarifa lukuki za kutekwa wagombea wa chama kimoja tu cha siasa zisizo na uthibitisho ni hatari kwa usalama wa taifa

Hao wanaofanya hayo wanakiuka sheria za nchi!Ikifika mahali hakutakuwa na kurudi nyuma,mtu akiona haki haipatikani katika utaratibu wa kawaida kinachofuata ni violence!Tutafika tu huko na watawala watakumbuka walipojikwaa!
Haki huzaa amani,uonevu huzaa maafa!
Mkuu unafikiri nao ni wajinga? Kila jambo linafanyika kwa wakati. Kwa wakati huu sasa ndio imeishaa hiyo .....next time new strategies kutegemea na joto [emoji41]
 
Sawa,endelea kufurahia!Nimeweka angalizo,sisi sio kisiwa!Hapo jirani Kenya tulishuhudia yaliyotokea,burundi tulishuhudia yaliyotokea!Watakaoumia zaidi ni ndugu zetu sisi walala hoi!Mpaka wakati huo,huwezi kujua madhara ya hayo unayoshabikia na kuita kupora haki kwa mipango kulingana na joto!
Ni vigumu sana kujua uchungu wa mtu ambaye kwake kunyimwa haki ni jambo la kawaida na anaishi nalo,it takes only a spark!
 
Je IGP naye katishwa?
Majukumu ya IGP ni mengi mno zaidi ya uhalifu wa kisiasa. Wakati huku wanasiasa wanatendewa uhalifu, huko vijijini akina mama na watoto wanabakwa. Sasa huyo IGP atafuatilia lipi na aachane na lipi?
 
Haki HUINUA TAIFA......
Nyie chama cha kishetani ccm tendeni haki ktk uchaguzi huu la sivyo mnataka kuendelea kudidimiza taifa
Ile wenu mlete machafuko, bahati nzuri tanzania hakuna mjinga wa kuficha siri za ujinga wenu mtaliwa vichwa kwa mslahi ya nchi
 
Wagombea wengi wa Chadema wameuza fomu wakaamua kujiteka ili wasilaumiwe na uongozi wa chama chao.

Angalau kwa ACT Wazalengo wagombea wao hawauzi fomu kwa fujo!! Kwa kweli ndg zangu CDM jitafakarini. Mmeweka wagombea bila kuwafanyia vetting!!

Najaribu kujiuliza, Watanzania wenzangu kweli hawa watu ndio wanaweza kushika dola? Si watauza nchi?

Mungu atuepushie mbali, wana tamaa hawa kubwa sana. Walifanya fomu ni dili la kupata fedha.

Queen Esther
 
Kuna haja ya Jambo hili kufuatiliwa kwa ukaribu maana wataendelea kujiteka na kusingizia wametekwa .
 
Kumbe kuna watu wananunua hadi fomu na huku wameleta maendeleo makubwa ambayo nchi haijapata tangia uhuru ila sasa wanaogopa uchaguzi hadi wananunua fomu za wagombea, huo ni uthibisho tosha wa jinsi wanavyokubalika kwa wananchi
 
Wagombea wengi wa Chadema wameuza fomu wakaamua kujiteka ili wasilaumiwe na uongozi wa chama chao.

Angalau kwa ACT Wazalengo wagombea wao hawauzi fomu kwa fujo!! Kwa kweli ndg zangu CDM jitafakarini. Mmeweka wagombea bila kuwafanyia vetting!!

Najaribu kujiuliza, Watanzania wenzangu kweli hawa watu ndio wanaweza kushika dola? Si watauza nchi?

Mungu atuepushie mbali, wana tamaa hawa kubwa sana. Walifanya fomu ni dili la kupata fedha.

Queen Esther
Wamemuuzia nani?
 
Huu ni uongo
 
Kumbe kuna watu wananunua hadi fomu na huku wameleta maendeleo makubwa ambayo nchi haijapata tangia uhuru ila sasa wanaogopa uchaguzi hadi wananunua fomu za wagombea, huo ni uthibisho tosha wa jinsi wanavyokubalika kwa wananchi
Hahaaaa!! Sasa hawa wamachinga wa kisiasa shughulikeni nao!! Rais Nyerere aliwaita watu MALAYA MALAYA wa kisiasa.

Queen Esther
 
Back
Top Bottom