MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Mkuu unafikiri nao ni wajinga? Kila jambo linafanyika kwa wakati. Kwa wakati huu sasa ndio imeishaa hiyo .....next time new strategies kutegemea na joto [emoji41]Hao wanaofanya hayo wanakiuka sheria za nchi!Ikifika mahali hakutakuwa na kurudi nyuma,mtu akiona haki haipatikani katika utaratibu wa kawaida kinachofuata ni violence!Tutafika tu huko na watawala watakumbuka walipojikwaa!
Haki huzaa amani,uonevu huzaa maafa!