Serikali awamu ya sita imefikisha Maji kwenye Vijiji 10,758 Tanzania Bara kati ya Vijiji 12,333

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151
Hamjambo ndugu

Waziri wa Maji Jumaa Aweso amesema Tanzania ina Vijiji 12,333 na mpaka sasa Vijiji 10,758 vina maji na Vijiji vilivyobakia ni 1,575.

Ameyasema hayo leo Januari 28, 2026 wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani Dodoma kwenye uwasilishaji wa taarifa kwa Umma kuhusu utekelezaji wa ahadi za Rais ndani ya siku 100 za Wizara ya maji.

----
Kama mjuavyo Serikali ya Samia imekamilisha zoezi la kufikisha umeme Kila Kijiji na sasa inaendelea na zoezi la kufikisha umeme Kila kitongoji.

Sanjali na Hilo la Umeme Kwa upande wa Maji ni kwamba Vijijini vyote 12,333 vimefikiwa na maji safi ya Bomba kasoro Vijiji 1,575 tuu Nchi nzima ambapo utekelezaji unaendelea na kazi ya kumtua mama ndoo kichwani itakamilishwa 2027.

View: https://www.instagram.com/reel/DV0zd0hDOWw/?igsh=MW9jOGtqMXpmZW0zNA==

My Take
Uchaguzi wa 2030 itakuwa ni kama kumsukuma mlevi Kwa CCM maana watakuwa hawadaiwi na mama amewarahisishia njia.

Maendeleo hayana chama.

View: https://www.instagram.com/p/DUF2LCaCCYf/?igsh=bGRrbnEyNXJ5Y3Zr
 
Vijana wa ccm wengi Wenu ni wapumbavu na wajinga sana, kisa buku saba

Dar tu peke yake haina maji sembuse huko vijijini?

Nendeni mkamsaidie kujibu kesi ya mauwaji bibi yenu
Muendelezo wa watu msio tumia akili vizuri.Kwa sababu Dar maji hayatoshi basi ndio Vijijini wasioate maji Hadi nyie mpate?

Hizo ni akili au matope?
 
Kuna utofauti wa mabomba ya Maji Na maji
Hapo mabomba ya maji kweli wako vema ila Sio maji.
Mjini Dar shida iliyoko hata uwe chama gani lazimq akili zikukae sawa
Wapi imeandikwa kwamba lazima mjini maji yatoshe ndio Vijijini wafuate?
 
.
Hamjambo ndugu

Kama mjuavyo Serikali ya Samia imekamilisha zoezi la kufikisha umeme Kila Kijiji na sasa inaendelea na zoezi la kufikisha umeme Kila kitongoji.

Sanjali na Hilo la Umeme Kwa upande wa Maji ni kwamba Vijijini vyote 12,333 vimefikiwa na maji safi ya Bomba kasoro Vijiji 1575 tuu Nchi nzima ambapo utekelezaji uaendelea na kazi ya kumtua mama ndogo kichwani itafikiwa 2027.

View: https://www.instagram.com/p/DUDcKZsjCGI/?igsh=MTY0bDBzMWpscXB3aA==

My Take
Uchaguzi wa 2030 itakuwa ni kama kumsukuma mlevi Kwa CCM maana watakuwa hawadaiwi na mama amewarahisishia njia.

Maendeleo hayana chama.

Lazima uwe mwendawazimu kuuamini uwongo huo.
Utawala wa Samia una mchango mdogo sana kwenye usambazaji wa umeme vijini. Usambazaji umeme vijijini ulianza kwa speed kubwa wakati wa utawala wa Kikwete, ukotumia pesa ya msaada ya USA, MCC. Mpaka Magufuli anafariki 85% ya vijiji vyote vilikuwa vimefikiwa na umeme. Utawala wa Samia utakuwa umemalizia 15%.

Program kubwa ya Usambazaji wa maji vijijini ilianzishwa na hayati Edward Lowasa, wakati wa utawala wa Kikwete, ikaendelea wakati wa Magufuli, hatimaye ikalegalega wakati wa Samia.

Kipindi chote cha utawala wa Samia, hakuna hata program moja kubwa iliyoanzishwa, yeye ilikuwa kuendeleza tu vilivyokuwa vimeanzishwa, na vingi mpaka leo bado havijakamilika.

.
 
Hamjambo ndugu

Kama mjuavyo Serikali ya Samia imekamilisha zoezi la kufikisha umeme Kila Kijiji na sasa inaendelea na zoezi la kufikisha umeme Kila kitongoji.

Sanjali na Hilo la Umeme Kwa upande wa Maji ni kwamba Vijijini vyote 12,333 vimefikiwa na maji safi ya Bomba kasoro Vijiji 1,575 tuu Nchi nzima ambapo utekelezaji unaendelea na kazi ya kumtua mama ndoo kichwani itakamilishwa 2027.

View: https://www.instagram.com/p/DUDcKZsjCGI/?igsh=MTY0bDBzMWpscXB3aA==

My Take
Uchaguzi wa 2030 itakuwa ni kama kumsukuma mlevi Kwa CCM maana watakuwa hawadaiwi na mama amewarahisishia njia.

Maendeleo hayana chama.

Dogo my take is back.

adriz de mbusii
 
Mbona Dar maji hakuna?
 
Back
Top Bottom