Serikali awamu ya sita imefikisha Maji kwenye Vijiji 10,758 Tanzania Bara kati ya Vijiji 12,333

Hamjambo ndugu

Waziri wa Maji Jumaa Aweso amesema Tanzania ina Vijiji 12,333 na mpaka sasa Vijiji 10,758 vina maji na Vijiji vilivyobakia ni 1,575.

Ameyasema hayo leo Januari 28, 2026 wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani Dodoma kwenye uwasilishaji wa taarifa kwa Umma kuhusu utekelezaji wa ahadi za Rais ndani ya siku 100 za Wizara ya maji.

----
Kama mjuavyo Serikali ya Samia imekamilisha zoezi la kufikisha umeme Kila Kijiji na sasa inaendelea na zoezi la kufikisha umeme Kila kitongoji.

Sanjali na Hilo la Umeme Kwa upande wa Maji ni kwamba Vijijini vyote 12,333 vimefikiwa na maji safi ya Bomba kasoro Vijiji 1,575 tuu Nchi nzima ambapo utekelezaji unaendelea na kazi ya kumtua mama ndoo kichwani itakamilishwa 2027.

My Take
Uchaguzi wa 2030 itakuwa ni kama kumsukuma mlevi Kwa CCM maana watakuwa hawadaiwi na mama amewarahisishia njia.

Maendeleo hayana chama.

View: https://www.instagram.com/p/DUF2LCaCCYf/?igsh=bGRrbnEyNXJ5Y3Zr

We unaeandika huu utumbo Kijijini kwenu Kuna maji ya Bomba acha kujichokonoa na kidole alafi unanusa
 
Huyo taahira anakujaga na habari zake za kuokoteza na kichawa..!!

Naona karudishwa kwenye payroll ya buku saba kaanza tena udwanzi wake..!!
Jadili hoja,upuuzi peleka Kwa Machadomo.
 
Hamjambo ndugu

Waziri wa Maji Jumaa Aweso amesema Tanzania ina Vijiji 12,333 na mpaka sasa Vijiji 10,758 vina maji na Vijiji vilivyobakia ni 1,575.

Ameyasema hayo leo Januari 28, 2026 wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani Dodoma kwenye uwasilishaji wa taarifa kwa Umma kuhusu utekelezaji wa ahadi za Rais ndani ya siku 100 za Wizara ya maji.

----
Kama mjuavyo Serikali ya Samia imekamilisha zoezi la kufikisha umeme Kila Kijiji na sasa inaendelea na zoezi la kufikisha umeme Kila kitongoji.

Sanjali na Hilo la Umeme Kwa upande wa Maji ni kwamba Vijijini vyote 12,333 vimefikiwa na maji safi ya Bomba kasoro Vijiji 1,575 tuu Nchi nzima ambapo utekelezaji unaendelea na kazi ya kumtua mama ndoo kichwani itakamilishwa 2027.

My Take
Uchaguzi wa 2030 itakuwa ni kama kumsukuma mlevi Kwa CCM maana watakuwa hawadaiwi na mama amewarahisishia njia.

Maendeleo hayana chama.

View: https://www.instagram.com/p/DUF2LCaCCYf/?igsh=bGRrbnEyNXJ5Y3Zr

Wenye akili ni wawili tuu
 
Jadili hoja,upuuzi peleka Kwa Machadomo.
We chawa mwandamizi kaa kwa kutulia usinibanie sauti mi sio duli okay?

Hizi nyuzi zako za mapambio tutakufumua kizazi, tulikofikia kama taifa hatutaki upuuzi kwenye issue serious za nchi..!!
 
Kama huwezi jadili hoja pita kushoto,na ukiendelea kuleta utoto wako napiga block
 
Hamjambo ndugu

Waziri wa Maji Jumaa Aweso amesema Tanzania ina Vijiji 12,333 na mpaka sasa Vijiji 10,758 vina maji na Vijiji vilivyobakia ni 1,575.

Ameyasema hayo leo Januari 28, 2026 wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani Dodoma kwenye uwasilishaji wa taarifa kwa Umma kuhusu utekelezaji wa ahadi za Rais ndani ya siku 100 za Wizara ya maji.

----
Kama mjuavyo Serikali ya Samia imekamilisha zoezi la kufikisha umeme Kila Kijiji na sasa inaendelea na zoezi la kufikisha umeme Kila kitongoji.

Sanjali na Hilo la Umeme Kwa upande wa Maji ni kwamba Vijijini vyote 12,333 vimefikiwa na maji safi ya Bomba kasoro Vijiji 1,575 tuu Nchi nzima ambapo utekelezaji unaendelea na kazi ya kumtua mama ndoo kichwani itakamilishwa 2027.

View: https://www.instagram.com/reel/DV0zd0hDOWw/?igsh=MW9jOGtqMXpmZW0zNA==

My Take
Uchaguzi wa 2030 itakuwa ni kama kumsukuma mlevi Kwa CCM maana watakuwa hawadaiwi na mama amewarahisishia njia.

Maendeleo hayana chama.

View: https://www.instagram.com/p/DUF2LCaCCYf/?igsh=bGRrbnEyNXJ5Y3Zr

Vijiji vilivyobaki wamemuachia nani?

Miaka zaidi ya 60 ya utawala wenu
 
Hii post ni ya kwenu kabisa huko Songwe wewe chawavariable , hakuna maji ila ukija humu unapanua mdomo kuleta propaganda uchwara.

Back
Top Bottom