Serikali awamu ya sita imefikisha Maji kwenye Vijiji 10,758 Tanzania Bara kati ya Vijiji 12,333

Ndio maji yanafikishwa Kila Kijiji Sasa
SIjakosea kukuita Mshamba na mbumbu
KUna vitu vya kujisifia kulingana na umri

Umri ukishapita ukijisifia unaonekana mshamba na mbumbu

Hivi mbaba wa miaka sitini ajisifia kuletea familia yake maji ya kunywa ??

Sitaki kuamini ccm inaongozwa na washamba na mambumbu mapuuzi kabisa

Dunia inawaza technologia kubwa za kwenda sayari nyingine huko

Nyie mnatuletea stori za maji ya kunywa

Wapumbavu nyie
 
Huna hoja wewe nyumbu
 
Pengine hata maana ya hoja Hujui ndo maana unajiona una hoja

Wewe ni mshamba na mbumbu unayeleta fikra za kizamani huku

Miaka sitini ya serikali ya CCM huwezi ajisifia kuleta maji ni upuuzi
Huna hoja usinichoshe
 
Siku zote tunasema, ukishatumia akili ya mwenzako kufukiria huwezi kuwa na logic hata kidogo.

Umesema maji yamefikishwa vijiji xxxx, lakini kiuhalisia hiyo ni miundombinu ya maji. Maji watu hawapati, pamoja na kwamba kweli vijiji na miji xxxx imeshapata miundombinu ya maji.

Siku mkija kusambaza maji mseme!!
 
Punguza ujinga,ulitaka maji yatumie pua Yako kuwafikia Wananchi?
Kazi ya kumalizia Vijiji inaendelea

View: https://www.instagram.com/p/DUF2LCaCCYf/?igsh=bGRrbnEyNXJ5Y3Zr
 
Chawa usiye na akili wewe, mmefunga miundombinu sehemu kibao na hakuna maji.
Whats your take on that? Mpumbavu wa my take!!
Miundombinu haipitishi makamasi Yako ni Maji yanapita
 
Ingekuwa inapitisha maji watu wa majiji wangelalamika? Mnajisifia kujenga miundombinu ambayo hata kuihudumia hamuwezi, look at mwendokasi, dawasa(mamlaka za maji), tanzesco, ttcl, atcl...just to mention a few!!

Mlitakiwa muondoke mda sana, sema mmeamua kutumia majeshi kukaa hapo mlipo.
 
Kwanza mada ni maji Vijijini,pili iliandikwa wapi kwamba watu wa mjini wapate maji kwanza ndio waje wa Vijijini?
 
Back
Top Bottom