Luca Paguro
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 502
- 1,141
Hamjambo ndugu
Kama mjuavyo Serikali ya Samia imekamilisha zoezi la kufikisha umeme Kila Kijiji na sasa inaendelea na zoezi la kufikisha umeme Kila kitongoji.
Sanjali na Hilo la Umeme Kwa upande wa Maji ni kwamba Vijijini vyote 12,333 vimefikiwa na maji safi ya Bomba kasoro Vijiji 1,575 tuu Nchi nzima ambapo utekelezaji unaendelea na kazi ya kumtua mama ndoo kichwani itakamilishwa 2027.
View: https://www.instagram.com/p/DUDcKZsjCGI/?igsh=MTY0bDBzMWpscXB3aA==
My Take
Uchaguzi wa 2030 itakuwa ni kama kumsukuma mlevi Kwa CCM maana watakuwa hawadaiwi na mama amewarahisishia njia.
Maendeleo hayana chama.
View: https://www.instagram.com/p/DUDX2i4CsNU/?igsh=cDlzOHloeHlhZ2p4
Ameua Watanzania wengi sana