Mimi sio chawa mkuuChawa wa mama ulipotea sana.umerudi Kwa Kasi ya 5G.
Hakuna kitu Cha maana Cha kujifunza kwenye hizo Nchi hususan Ghana ambayo licha ya Utajiri wote ila Haina maajabu.
Hao LDC wa Burkina Faso wanatakiwa kutoka kwenye kundi la mafukara ndio waje tujadiliane nao.
Huna unalolijuwa na unataka kuleta ubishi unaamini kama bongo ilivo mambo hayabadiriki na wao itakuwa hivo,wameshalipa deni lote la IMF kama ilivo Bukina ,kabla hujaanza kubisha fuatilia kwanza,Hakuna kitu Cha maana Cha kujifunza kwenye hizo Nchi hususan Ghana ambayo licha ya Utajiri wote ila Haina maajabu
Hakuna nafasi ya kubabaishwa na vibaraka na bwana zaoJanuari 16, 2026
WASHINGTON, D.C. — Ikikabiliwa na uangalizi wa kimataifa kufuatia matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa 2025 ulioharibu sifa yake, Serikali ya Rais Samia imezindua operesheni kabambe ya kujenga ushawishi nchini Marekani. Tanzania imekodi kampuni inayoongozwa na Mbunge wa zamani wa Republican ili kurekebisha sifa yake na kujiweka kama mshirika muhimu katika mbio za kimataifa za madini adimu (rare earth minerals).
Kulingana na majalada ya Sheria ya Usajili wa Mawakala wa Kigeni (FARA)...
- Ex Spy
- baada kampuni kukodi kutumia marekani mgogoro nchi samia taswira uchaguzi
- Replies: 115
- Forum: Jukwaa la Siasa
Hii kazi nzuri utapost lini?
Povu la makamasi.Wapi imeandikwa kwamba lazima Mwanza mjini kuwe na maji ndio Vijijini wapate?Ila kuna watu ni wangese yaan wanatuona sisi km hatuna akili mamaae zao hivyo vijiji vya matakoni mwao labda lakini hapa mwanza tu maji shida ila acha tu
Ww anko t acha shobo za kingese sifa ya sehem kuitwa mjini unazijuaMjini ndio Kuna wenye kiu kuliko Vijijini?
Punguza upumbavu kama huwezi kuuacha,umeme Kila Kijiji tayari Je Kila sehemu mjini Kuna umeme?
Kwani ukilipa deni lote ndio nini? Kwamba mtu ambae hana deni ana maendeleo kuliko mwenye deni? 😂😂Huna unalolijuwa na unataka kuleta ubishi unaamini kama bongo ilivo mambo hayabadiriki na wao itakuwa hivo,wameshalipa deni lote la IMF kama ilivo Bukina ,kabla hujaanza kubisha fuatilia kwanza,
NdioWw anko t acha shobo za kingese sifa ya sehem kuitwa mjini unazijua
Ww panya uko kwa shemeji yako umepewa buku saba ya uchawa hujatembea nchi hii unakuja na upuuzi wakoPovu la makamasi.Wapi imeandikwa kwamba lazima Mwanza mjini kuwe na maji ndio Vijijini wapate?
Ndio maana Kuna Ruwasa na Mwauwasa.
Huna hojaWw panya uko kwa shemeji yako umepewa buku saba ya uchawa hujatembea nchi hii unakuja na upuuzi wako
Huo ni ibaguzi wako wa kishamba na mimi si kati ya watu hao.Waha na wakinga daa ni shida
Wamefuta vijiji 1,575.Machawa wana namna yao ya kutaka kuonyesha "hakuna tatizo"
Namba zinaongea na sio ujinga wakoHakuna kubwa la pekee ambalo uongozi wa Samia umefanya ukilinganisha na tawala tangulizi.
Pekee ambalo Samia anatofautiana na wengine wote ni katika ushetani wa kuua Watanganyika zaidi ya elfu 10. Kwa hilo jina, lake litakumbukwa kama jina la laana kwa Taifa hili kwa miaka mingi.
Kwa ule ushetani alioufanya Oct 29, hatasahaulika sawa na ambavyo watu wameshindwa kumsahau Hitler.
Hii habari ya kwamba ni lazima nchi ifanikiwe ndiyo iwe na cha kujifunza kwao ni stupid arrogance na logical non sequitur fallacy.Hakuna kitu Cha maana Cha kujifunza kwenye hizo Nchi hususan Ghana ambayo licha ya Utajiri wote ila Haina maajabu.
Hao LDC wa Burkina Faso wanatakiwa kutoka kwenye kundi la mafukara ndio waje tujadiliane nao.
Na Mimi nasema wapumbavu ndio mnategemea Imani na sio facts.
Namba zinaongea na sio ujinga wako