Serikali awamu ya sita imefikisha Maji kwenye Vijiji 10,758 Tanzania Bara kati ya Vijiji 12,333

kama una ka akili hata cha kuvukia barabara tu huwezi kusifia visivyosifiwa , unadhani kila mtu anatetea takataka kama wewe? Idiot.
Weka hoja sio kujaza matope kichwani.

Kila Kijiji Kuna maji hutaki au?
 
Hamjambo ndugu

Kama mjuavyo Serikali ya Samia imekamilisha zoezi la kufikisha umeme Kila Kijiji na sasa inaendelea na zoezi la kufikisha umeme Kila kitongoji.

Sanjali na Hilo la Umeme Kwa upande wa Maji ni kwamba Vijijini vyote 12,333 vimefikiwa na maji safi ya Bomba kasoro Vijiji 1,575 tuu Nchi nzima ambapo utekelezaji unaendelea na kazi ya kumtua mama ndoo kichwani itakamilishwa 2027.

View: https://www.instagram.com/p/DUDcKZsjCGI/?igsh=MTY0bDBzMWpscXB3aA==

My Take
Uchaguzi wa 2030 itakuwa ni kama kumsukuma mlevi Kwa CCM maana watakuwa hawadaiwi na mama amewarahisishia njia.

Maendeleo hayana chama.

View: https://www.instagram.com/p/DUDX2i4CsNU/?igsh=cDlzOHloeHlhZ2p4

Vipi kuhusu takwimu za wale waliotekwa na kupotea? mauaji ya kimbali ya vijana mara baada ya zoezi la uchaguzi kubumba?
 
Narudia tena, hiyo idadi ya miundombinu hukupaswa kusema ni kupeleka maji, bali miundombinu. Siku maji yakifika uje na uzi, kwa sasa ulipaswa kuongelea miundombinu na sio maji.
Hakuna mahala nimetaja miundombinu,nimetaja Vijiji vilivyofikiwa na maji
 
Hamjambo ndugu

Kama mjuavyo Serikali ya Samia imekamilisha zoezi la kufikisha umeme Kila Kijiji na sasa inaendelea na zoezi la kufikisha umeme Kila kitongoji.

Sanjali na Hilo la Umeme Kwa upande wa Maji ni kwamba Vijijini vyote 12,333 vimefikiwa na maji safi ya Bomba kasoro Vijiji 1,575 tuu Nchi nzima ambapo utekelezaji unaendelea na kazi ya kumtua mama ndoo kichwani itakamilishwa 2027.

View: https://www.instagram.com/p/DUDcKZsjCGI/?igsh=MTY0bDBzMWpscXB3aA==

My Take
Uchaguzi wa 2030 itakuwa ni kama kumsukuma mlevi Kwa CCM maana watakuwa hawadaiwi na mama amewarahisishia njia.

Maendeleo hayana chama.

View: https://www.instagram.com/p/DUDX2i4CsNU/?igsh=cDlzOHloeHlhZ2p4

Nipo hapa kimara nina miezi 3 sijaona maji
 
Mnamsifu Hadi kero wakati maji hapa tu Dar es salaam wanahangaika kuyapata.
 
Lengo ni kuunganisha vijiji au kaya?

Umeme na maji siyo barabara hizo,tajeni kaya zilizounganishwa!!

Mmehesabu watu na makazi juzi tu,nini faida ya hiyo sensa?
Nilikuwa naitafuta hii comment.

Hayo maji yanafikia watu majumbani au yanafikia wapi hadi waseme wamemtua mama ndoo?
 
Wzir wa Maji Jumaa Aweso amesema Tanzania ina Vijiji 12,333 na mpaka sasa Vijiji 10,758 vina maji na Vijiji vilivyobakia ni 1,575.

Ameyasema hayo leo Januari 28, 2026 wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani Dodoma kwenye uwasilishaji wa taarifa kwa Umma kuhusu utekelezaji wa ahadi za Rais ndani ya siku 100 za Wizara ya maji.

----

Hamjambo ndugu

Kama mjuavyo Serikali ya Samia imekamilisha zoezi la kufikisha umeme Kila Kijiji na sasa inaendelea na zoezi la kufikisha umeme Kila kitongoji.

Sanjali na Hilo la Umeme Kwa upande wa Maji ni kwamba Vijijini vyote 12,333 vimefikiwa na maji safi ya Bomba kasoro Vijiji 1,575 tuu Nchi nzima ambapo utekelezaji unaendelea na kazi ya kumtua mama ndoo kichwani itakamilishwa 2027.

My Take
Uchaguzi wa 2030 itakuwa ni kama kumsukuma mlevi Kwa CCM maana watakuwa hawadaiwi na mama amewarahisishia njia.

Maendeleo hayana chama.
Nyie ndo mambumbu mnakwamisha maendeleo Kwa fikra zenu za kipuuzi

Unasifia serikali imekaa madarakani miaka 60 kuleta maji ya kunywa
Mpumbavu wewe

Kwa hiyo baba mwenye miaka sitini kununua maji ni sifa upuuzi
 
Jadili hoja wewe mtoto wa malaya
 
Back
Top Bottom