Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ma CHADEMA yakiona habari njema kama Hizi yanapata kizunguzungu kwa wivu tu na miroho mibaya iliyowajaa. Maana yenyewe kila wakati yanataka kusikia habari mbaya tu utafikiri machawi.
Hamjambo ndugu
Kama mjuavyo Serikali ya Samia imekamilisha zoezi la kufikisha umeme Kila Kijiji na sasa inaendelea na zoezi la kufikisha umeme Kila kitongoji.
Sanjali na Hilo la Umeme Kwa upande wa Maji ni kwamba Vijijini vyote 12,333 vimefikiwa na maji safi ya Bomba kasoro Vijiji 1,575 tuu Nchi nzima ambapo utekelezaji unaendelea na kazi ya kumtua mama ndoo kichwani itakamilishwa 2027.
View: https://www.instagram.com/p/DUDcKZsjCGI/?igsh=MTY0bDBzMWpscXB3aA==
My Take
Uchaguzi wa 2030 itakuwa ni kama kumsukuma mlevi Kwa CCM maana watakuwa hawadaiwi na mama amewarahisishia njia.
Maendeleo hayana chama.
View: https://www.instagram.com/p/DUDX2i4CsNU/?igsh=cDlzOHloeHlhZ2p4

Tulikotoka ni mbali tuendako ni karibuUmeandika "Serikali ya Samia imefanikiwa kufikisha Maji kwenye Vijiji vyote 12,333 Tanzania Bara Kasoro Vijiji 1,575 tuu."
Ukishajua kuna vijiji 1,575 havijapata maji, hivyo vijiji 12,333 si vijiji vyote Tanzania.
Pia, hamkuambiwa na Mkapa kuwa hakuna serikali ya Magufuli kuna serikali ya CCM?
Nchi kubwa watu wengi na wametawanyika sana.Yani Tangu tupate uhuru mwaka 1960, zaidi ya miaka 60 bado tunahangaika na usambazaji wa maji, ama kweli Ma-CCM ni majitu yaliyojaa laaana
That is beside the point.Tulikotoka ni mbali tuendako ni karibu
Unapenda sana kubishana,heading inajielezaThat is beside the point.
Vijiji 12,333 si vijiji vyote Tanzania.
Innumeracy is real and exactitude is a problem in Tanzania.
Nchi kubwa watu wengi na wametawanyika sana.
Tumechelewa
Mawazo kama haya ndo yanayotuchelewesha kufikia maendeleo Tanzania, inaumiza sana.Nchi kubwa watu wengi na wametawanyika sana.
Tumechelewa ila tumekaribia kufika
Kupenda au kutopenda kubishana si issue.Unapenda sana kubishana,heading inajieleza
Watafikiwa nadhani mnaona harakati za Ruwasa huko VijijiniDar tu hapa kuna sehemu hawajawah kuona maji ya bomba wanaoga maji ya chumvi ya visima
Waha na wakinga daa ni shidaKupenda au kutopenda kubishana si issue.
Inawezekana kutopenda kubisha ni tatizo, watu wasiooenda kubishana ni ma doormat wanajazwa ujinga wanakubali tu, hawawezi kujiassert.
Kwa hiyo usifanye kupenda kubishana kuwa ni kitu kibaya.
Ila, hapa kuna a factual issue. Hii haina ubishi.
Umetaja vijiji 12,333 kama vyote Tanzania Bara, vyote vimepata maji, halafu ukatueleza kuwa vipo zaidi, havijapata maji.
That is a contradiction.
Watafikiwa nadhani mnaona harakati za Ruwasa huko Vijijini
View: https://www.instagram.com/reel/DPitvjujEZ4/?igsh=MXQweXB2M3NtZWl0ZA==
Bado hunielewiMwanangu unapambana sana, mi nakuelewa haya maisha tu, ilimradi mkono uende kinywani.
Machawa wana namna yao ya kutaka kuonyesha "hakuna tatizo"Umeandika "Serikali ya Samia imefanikiwa kufikisha Maji kwenye Vijiji vyote 12,333 Tanzania Bara Kasoro Vijiji 1,575 tuu."
Ukishajua kuna vijiji 1,575 havijapata maji, hivyo vijiji 12,333 si vijiji vyote Tanzania.
Pia, hamkuambiwa na Mkapa kuwa hakuna serikali ya Magufuli kuna serikali ya CCM?
Ilimradi wasije kukutapeli tu, komaaBado hunielewi
Hamjambo ndugu
Kama mjuavyo Serikali ya Samia imekamilisha zoezi la kufikisha umeme Kila Kijiji na sasa inaendelea na zoezi la kufikisha umeme Kila kitongoji.
Sanjali na Hilo la Umeme Kwa upande wa Maji ni kwamba Vijijini vyote 12,333 vimefikiwa na maji safi ya Bomba kasoro Vijiji 1,575 tuu Nchi nzima ambapo utekelezaji unaendelea na kazi ya kumtua mama ndoo kichwani itakamilishwa 2027.
View: https://www.instagram.com/p/DUDcKZsjCGI/?igsh=MTY0bDBzMWpscXB3aA==
My Take
Uchaguzi wa 2030 itakuwa ni kama kumsukuma mlevi Kwa CCM maana watakuwa hawadaiwi na mama amewarahisishia njia.
Maendeleo hayana chama.
View: https://www.instagram.com/p/DUDX2i4CsNU/?igsh=cDlzOHloeHlhZ2p4
Hakuna kitu Cha maana Cha kujifunza kwenye hizo Nchi hususan Ghana ambayo licha ya Utajiri wote ila Haina maajabu.Fatilia habari za kimataifa soma kinachoendelea Ghana 🇬🇭 na Bukina kama utarudi hapa na huu upuuzi ifike wakati tuwe na mapenzi na nchi yetu badala huu ushabiki hautufikishi kokote,tunaonekana nyani tu. Soko la dhahabu lipu juu mno kwa sasa unafuu gani anaupata jirani yako au nduguzako. Unauhakika wewe na huyu mtawala mtafika 2030 eh?