Serikali baada ya kukutana na viongozi wa dini ilitakiwa irudi tena kuwapa mrejesho mapendekezo yao Serikali imefikia wapi

Serikali hairipoti kwa viongozi wa dini. Kumbuka hilo.

Serikali imeshaelezea kuhusu bandari vyakutosha, hatuoni sababu ya serikali kuendelea kujibizana na wajinga.

Sisi tubishane hapa JF, yesha. Ujinga wetu hapa ubaki hapahapa.
 
Na dharau- eti tumeweka pamba masikioni.
 
Serikali hairipoti kwa viongozi wa dini. Kumbuka hilo.

Serikali imeshaelezea kuhusu bandari bya kutosha, hatuoni sababu ya wao kuendelea kujibizana na wajinga.

Sisi tubishane hapa JF, yesha. Ujinga wetu hapa ubaki hapahapa.
Vya kutosha....siyo byakutosha.
 
Sio sukuma gang, leteni majibu wapi ilipo ndege yetu tuliyonunua Kwa ajili ya Rais
Kabla ya hapo nyinyi mnaotoa hizo allegations toani uhakika wa hizo habari kama ni kweli ndege ya serikali imekamatwa.
 
Washenzi tu hao sukuma gang hawatakuweza Mama samia ana akili halafu ana hekma anafikiri kabla ya kuongea tofauti na yule marehemu.
Usidhani naye aweza pokea sofa zisizo na hoja

Haya umetukana hoja hapo mbona haipo? Tusi sio hoja jibu hoja zilizowekwa mezani na lete mrejesho
 
Safari hii mtanena kwa lugha
 
Vya kutosha....siyo byakutosha.
Nimekuelewa na nimerekebisha. Mama kishasema:

"Nimeyasikia yote uliyoyasema kuhusu usalama, amani, umoja na muendelezo wa taifa letu, niliamua kunyamaza kimya, na naendelea kunyamaza kimya, nachotaka kuwahakikishia hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuuza taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuharibu amani na usalama kwenye taifa letu."

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya
Miaka 60 ya KKKT.

Unalo jipya au bado hilohilo?
 
Kiherehere cha RC kùonekana kwamba wana haki ya kutawala. Wengine wako poa wanaalikwa tu.
Kwamba kualikwa kukutana na rais ni jambo la sifa sana? Marais hawahawa wanaoingia madarakani kwa njia za kishenzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…