FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Serikali hairipoti kwa viongozi wa dini. Kumbuka hilo.Sintofahamu inayoendelea sasa hivi Issue ya Dp World ilitakuwa kuwa solved kidogo tu
Viongozi wa serikali walikutana na viongozi wa dini kuhusu hilo swala Wakaeleza kutoridhikia na wakatoa maoni yao na kusihi serikali na bunge waangalie ushauri wao wawape mrejesho
Matokeo serikali na bunge wakakaa kimya no feedback na badala yake moto unawashwa ohh viongozi wa dini waache siasa na vitisho kibao
Hilo sio afya kwa taifa.Serikali International mrejesho wa walipofikia kulikuwa na shida gani? Hata huo waraka wa maaskofu usingetoka na maskofu wangefanya kazi kuelimisha waumini wao hatua serikali au bunge wamechukua kurekebisha kasoro
Lakini hii foka foka ya viongozi wa Serikali na bunge si afya sana kwa taifa
Hoja zijibiwe kwa hoja. Wananchi wakitaka feedback wapewe
Na kukaa kimya sio sahihi ni sawa na kusema bora liende
Serikali imeshaelezea kuhusu bandari vyakutosha, hatuoni sababu ya serikali kuendelea kujibizana na wajinga.
Sisi tubishane hapa JF, yesha. Ujinga wetu hapa ubaki hapahapa.