Serikali bado haijaelewa maana ya maandamano siku hizi. Serikali itatue kero za waandamanaji

Kuna Mapolisi wanatamani kumshkuru alietangaza maandamano ya Mchongo maana hizi posho zitapush ada za shule sana.
 
Kaka kwa nchi ilipofikia hata watu wa 1940 wanataka mabadiliko..
Tofauti ni moja hao wa 1940-90 wana kale ka uzalendo kakumkumbuka mwalimu Nyerere ndi maana ya huo utulivu,ila sio wajinga!wana busara na hekima ila usiichukulie ni udhaifu

Halafu hata kama watu hawajaingia barabarani lakini wamefanikiwa,hayo mabango ya mitandaoni yamewafikia vizuri ndio maana wamekimbilia kujihami na mitutu na magari washa,
 
Gentleman,
kwamwe magaidi na majambazi hawataruhusiwa kuleta ghasia, vurugu, uharibifu au maafa nchini kwa mgongo wa maandamano haramu πŸ’
Unaambiwa Maandamano tayari.

Wameandamana polisi, JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi kwa gharama kubwa.
Mnatumia gharama zote hizi kulinda maslahi ya wachache waliopra madaraka.
 
Jana kuna mtu nimetoka kumwambia kitu kama hiki, hata wale mashekhe ubwabwa akina Mwapopo sijui na yule mashavu hizi project zao sijui za kupinga maandamano wanapiga sana hela na wanatamani hii hali iwe endelevu wapige hela
Sahihi kabisa na hii muvi huenda itakuwa endelevu huu ni mradi wa watu kupata pesa
 
Una akili sana mama mtumish
 
Asante sana!ndio ninachokiona...yaani kifupi hakuna mwekezaji anayependa nchi yenye political instability, ni huruma kwa partners walioleta mizigo yao 7/7 leo sijui kama mwakani watarudia kosa...ndio maana mimi binafsi naona kama hawa wanaharakati kuna namna wamefanikiwa kuichezesha serikali
 
Unaambiwa Maandamano tayari.

Wameandamana polisi, JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi kwa gharama kubwa.
Mnatumia gharama zote hizi kulinda maslahi ya wachache waliopra madaraka.
Yes,
kwa kupotoshana kindezi ndezi as wafuata mkumbo crew, it's true tayari πŸ’
 
Kwamba ukimuona Padre kwenye altare au Sheikh kwenye mimbari amesimama hutakiwi kumuonea huruma.πŸ˜€
Kabisa mkuu.sasa mtu anasema eti askari anakuwa torchured wakati anafanya kazi yake na miposho kibao kulinda amani ya nchi kama kiapo chake .
 
Awamu hii hawatapata utulivu wa kufanya maendeleo yataitishwa maandamano mengine nguvu itahamia huko kujipanga kuyazuia
What if wanaofanya hiyo michezo wapo huko huko serikalini na wanafanya hivyo ile wale pesa za walipa kodi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…